Jada Smith akubali yeye ni mraibu wa ngono

Jada Smith, Mke wa Mwigizaji Will Smith amefunguka kuwa yeye ni Mraibu wa ngono, hivyo Mume wake peke yake hawezi kumtosheleza.

Jada anaeleza kuwa uraibu wa ngono umeanza tangu akiwa Mdogo na anapenda vijana wadogo, ameahidi kuwa ataendelea kumsaliti Will Smith kwani anapenda sana ngono.

Uhusiano wa wawili hawa umekuwa ukizua taharuki na Kiki nyingi, kuna muda wanadai wameachana lakini baadaye huonekana tena pamoja.

"I am a sēx addîct and one man, let alone Will Smith can't satîsfy me."---- Jada Smith.

"I know I don't really love my husband Will Smith that much but I didn't really wanna chēat on him. I have cheatéd on him with alot of men especially young men. My sēx addîction started when I was young and it has followed me to this day. I'm always hõrny and Will Smith alone can't satîsfy me. I just love having sēx all the time so I just chēat on my husband to make myself feel good because he's not up to the task. And I love young men because they're good at having sēx all the time. I'm still gonna continue chēatîng because I just love sēx."--- Jada Smith.

#hopetygatz
#hopetygatzupdatesView attachment 3160731
Akafie mbal huko na kansa yake😄
 
America is the worst place to get married for a man. Hapo mwamba akitoa talaka almost 70% ya utajiri wake anapewa mkewe. Nafikiri will smith kakubali tu kujifanya mjinga kulinda mali zake. Mwanamke mwenyewe ana kansa uyo possibly hana miaka mingi ya kuishi ukilinganisha na will smith
Damn man, wanakati anamfukuzia huyo demu , her love ni tupac, will smith probably forced. Na haya ndio matokeo, huyo manz hakuwahi mpenda jamaa.

But uko right will anaogopa kupoteza mali zake, but probably he knows the truth
 
Duuh!! Hawa viumbe sijui wanatakaga nini? 🤔🤔
 
Kuna mkurya mmoja alimfumania mke wake wala hakumpiga, akachukua ukuni wa moto akaudumbukiza Kumani, ukapoa kama uko kwenye maji (shsssssa). akamruhusu aondoke.

Yule mwanamke sijui alipona
Mama Ghaati rara chini nikureenge
 
Jada Smith, Mke wa Mwigizaji Will Smith amefunguka kuwa yeye ni Mraibu wa ngono, hivyo Mume wake peke yake hawezi kumtosheleza.

Jada anaeleza kuwa uraibu wa ngono umeanza tangu akiwa Mdogo na anapenda vijana wadogo, ameahidi kuwa ataendelea kumsaliti Will Smith kwani anapenda sana ngono.

Uhusiano wa wawili hawa umekuwa ukizua taharuki na Kiki nyingi, kuna muda wanadai wameachana lakini baadaye huonekana tena pamoja.

"I am a sēx addîct and one man, let alone Will Smith can't satîsfy me."---- Jada Smith.

"I know I don't really love my husband Will Smith that much but I didn't really wanna chēat on him. I have cheatéd on him with alot of men especially young men. My sēx addîction started when I was young and it has followed me to this day. I'm always hõrny and Will Smith alone can't satîsfy me. I just love having sēx all the time so I just chēat on my husband to make myself feel good because he's not up to the task. And I love young men because they're good at having sēx all the time. I'm still gonna continue chēatîng because I just love sēx."--- Jada Smith.

#hopetygatz
#hopetygatzupdatesView attachment 3160731
Safi kabisa mwanamke anae ongea ukweli wa mambo.
 
Kweli duniani tuko tofauti, naelekea mwaka sijui wa 4,5. Na naona kawaida. Yeye ndio kwanza kumekucha, anazibadilisha sana ndiyo maana akikaa na mama yake, anaonekana yeye mzee.

Ila hawa ndoa yao, ilishakufa japo walikuwa na Open Relationship. Will akaonekana yuko na mwanamke mwingine, anayefanana na Jada.
Hahaha Kitu si kitakua mnato sana we mbantu? I cant imagine.

Anyway chino ana ku miss sana tajiri wa roho
 
Uzi huu ni kielelezo kwamba Watanzania wengi wa JF ni wepesi sana kurukia kujadili jambo bila ya kujiridhisha kama ni la kweli.

Nimeomba chanzo cha habari hii, mpaka sasa sijakiona.
 
Kwa style hio lazma u survive mda mrefu🤣 japo upwiru lazma ukabe koo mara kwa mara! Mwanamke anaweza himili kama hapati external push. I believe mnaweza kuvumilia muda mrefu kama hakuna mtu anachokonoa mtambo wa hisia zako.😁
Mwamba usiamini stori za uongo.

4 up to 5 years seriously!!!!
 
Jada Smith, Mke wa Mwigizaji Will Smith amefunguka kuwa yeye ni Mraibu wa ngono, hivyo Mume wake peke yake hawezi kumtosheleza.

Jada anaeleza kuwa uraibu wa ngono umeanza tangu akiwa Mdogo na anapenda vijana wadogo, ameahidi kuwa ataendelea kumsaliti Will Smith kwani anapenda sana ngono.

Uhusiano wa wawili hawa umekuwa ukizua taharuki na Kiki nyingi, kuna muda wanadai wameachana lakini baadaye huonekana tena pamoja.

"I am a sēx addîct and one man, let alone Will Smith can't satîsfy me."---- Jada Smith.

"I know I don't really love my husband Will Smith that much but I didn't really wanna chēat on him. I have cheatéd on him with alot of men especially young men. My sēx addîction started when I was young and it has followed me to this day. I'm always hõrny and Will Smith alone can't satîsfy me. I just love having sēx all the time so I just chēat on my husband to make myself feel good because he's not up to the task. And I love young men because they're good at having sēx all the time. I'm still gonna continue chēatîng because I just love sēx."--- Jada Smith.

#hopetygatz
#hopetygatzupdatesView attachment 3160731
Usifrikiri Will Smith ni mjinga,ameshasoma huyu mwanamke anachotaka ni nini,hapo anapigia hesabu utajiri wa Will Smith atakapoamua waachane,na hilo Will ameshalijua kwahiyo anaendelea kuvumilia yote hayo ili asije kufilisiwa kama Tyresse na wengine wengi.Kwanza jiulize kwa uzuri upi alionao Jada wa kumpelekesha Will kiasi kiasi hicho...
 
Kama ni kweli ayasemayo huyu mrembo Bantu Lady , basi yeye na mrembo Jadda wa jf ni ndege wafananao, I guess. 😎

-Kaveli-

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Anadai yeye hapendi mkuyenge ila wakufunzi wa Cuba tunaelewa code

Kumuelewa mwanamke inahitaji ubobevu wa kimataifa.

Mara nyingi mwanamke huwa hamaanishi anachomaanisha.

Saikolojia yao huwa inasoma 'loading...' muda wote. 😎

-Kaveli-
Duuh kwahiyo Jada kusema anapenda ngono mmemuamini na ndio anamaanisha anachokisema, ila Mimi kusema sipendi ngono ndio mambo ya saikolojia yameingia kwamba mwanamke huwa hamaanishi anachokisema, yani hamueleweki hata mnachosimamia ninyi semeni tu kuwa mnataka kusikia yale yanayowafurahisha tu
 
Kwa wale tuliosoma Cuba tayari tumeshaelewa kuwa huyu demu anachofanya hapo ni kumzingua mwamba ili wapeane talaka wagawane mali. Wanawake wa kizazi hiki target yao ni mali sababu wengi wao wana asili ya umasikini wa damu.

Kama hampendi jamaa basi aondoke akatombwe na hao madogo anaowapa attention. Why sasa yupo na mwamba muda wote kamganda mbwa huyu.
 
Back
Top Bottom