Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja


Tevin na Tisha Campbell sio ndugu
 
Ila kuna fununu hata baba na mama walikuwa ama wana practice mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja, naona watoto wamefuata nyayo tu tena kwa baraka za wazazi..
Mama yake ndio alikuwa wanapractice na Queen latifa siiiince....

Ila baba ambaye ni Will Smith sijawahi kusikia hilo.
 
sheree mke wa kwanza wa will smith,picha nyingine ni mtoto wao,first born wa will smith aliye timamu wa mwili na akili
 

Kama unaangalia red talk show, will smith kaeleza a to z kuanzia mke wa kwanza hadi jada. Will Smith is NOT gay. Ila Jada ndie control freak, will hana sauti hata kama hapendi. Kila kitu cha hawa watoto ukiangalia ni controlling ya Jada.
Will sio Gay
Jada aliwahi kuwa lesbian and sciontologist (while will ni christian specifically baptism)
Ukicheck links nyingi na interviews za Will, you can tell haridhiki na mambo mengi (majibu ya kuzungusha) but Jada is straight forward na opinions zake zina kwikwi mno.
Get your facts somehow right. Like Tisha na Tevin, tevin hajawahi ku confirm tuhuma za ushoga hadi leo hakuna mwenye hakika. Tisha ana ndugu mmoja tu wa kike.

Ishu ya Jaden na huyo the creator, kama umesoma zaidi, all was a joke unless he confess ktk show ya mama bibi na dada yake.
 
kesho nitapost uzi hapa kuhusu ushoga hollywood na huyo jamaa yako will ndani,saa hii nimechoka nacheki movie tu
Mimi ninachosema ni kwamba:-

Jada Smith alikuwa msagaji na mpenzi wake alikuwa Queen Latifa, na Ueeb Latifa hadi leo amekubuhu na ndio maana hata kuolewa hataki

Ila kuhusu Smith's kid inaweza pia ikawa ni kutafuta kiki.....nakumbuka Michael Scofield alivyojitangaza kuwa ni shoga halafu baadaye akaja kusemaje tena?

So inawezekana ni anatengeneza attention kwa watu au labda ni shoga kweli pia.


Who knows the hidden truth???
 
Kwenye kuwapa watoto majina waiteni kwa majina yaliokua mazur mazur.

Hakika ya majina yanasibu nasema hya kwa kushuhudia.
 
Baba mtoto hapana.

Miezi minne au mitatu nyuma kuna mwanaume alimkimbilia na kumbusu akampiga. Baadaye ikabidi aombe msamaha kwa jamii ya LGBT kwakua alimpiga mwenzao.
Pengine ni ngangaripoa
 
Kwenye kuwapa watoto majina waiteni kwa majina yaliokua mazur mazur.

Hakika ya majina yanasibu nasema hya kwa kushuhudia.

Najua ila sio kwa situation ya hichi kitoto.

Yaani jaden Smith akiwa shoga watoto wote wenye majina ya jaden au jayden watakua mashoga?

Ninachokijua mtoto akirithi jina la kwenye ukoo wako au wa baba ndiyo inaweza kuwa shida ikiwa hamtovunja laana kwa maombi!!

James delicious, hamis ‘b12’ harris ni mashoga hawa so wenye majina kama haya wana tatizo?
 
Majina kma hayo yako wazi tu kua ni mazuri ila shida ni tabia za hao watu.

Ila haya majina kma majuto,sikudhani n.k.

Hyo majina sio mazuri.
 
Majina kma hayo yako wazi tu kua ni mazuri ila shida ni tabia za hao watu.

Ila haya majina kma majuto,sikudhani n.k.

Hyo majina sio mazuri.
Hapo nimekupata Mkuu

Umenikumbusha kuna familia tulikua nayo jirani mtoto wa kwanza majuto wa pili matatizo tulikua tunamkatisha tunamuita tizo lol huyu tizo mpaka leo haeleweki.
 
Hapo nimekupata Mkuu

Umenikumbusha kuna familia tulikua nayo jirani mtoto wa kwanza majuto wa pili matatizo tulikua tunamkatisha tunamuita tizo lol huyu tizo mpaka leo haeleweki.
Hhhhh hta mim shule nilisoma na mmoja mwanamke akiitwa majuto.

Huyo alikua majuto kweli mtihani kwakweli.
 
Hivi ndivyo inavyotakiwa, watu wapewe haki zao na wazitumie bila kubughudhiwa.
sisi UNHRC tunasimamia hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…