witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Sasa Johnson unataka wanaume wote wawe mashoga au?... Sikuelewi eti!RAHA SANA.
WASIOPENDA USHOGA WATAJINYONGA LEO.
Hahahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Johnson unataka wanaume wote wawe mashoga au?... Sikuelewi eti!RAHA SANA.
WASIOPENDA USHOGA WATAJINYONGA LEO.
Hahahaa
I think so...but so pain dear!THEN YOU CAN SEE IT IS NATURAL TO BE GAY.
Willow.!! Msagaji?Hichi kijamaa nilianza kukistukia kwenye movie ya Karate Kid...kilikuwa kina mambo ya kike kike mnoo
Bado mdogo wake Willow nae ni msagaji, Jada atalia na kusaga meno daaah!
Tumbo ni bahariMuda mwingine kuzaa sio kupata.
HAPANA MADAM.Sasa Johnson unataka wanaume wote wawe mashoga au?... Sikuelewi eti!
DuhI think so...but so pain dear!
Hizi huwa kiki tuu pamoja na maagano ya kishetani.Hichi kijamaa nilianza kukistukia kwenye movie ya Karate Kid...kilikuwa kina mambo ya kike kike mnoo
Bado mdogo wake Willow nae ni msagaji, Jada atalia na kusaga meno daaah!
Yes....unajua Will Smith aliambiwa kitambo kuwa hawa watoto walee na utoto wao, wapeleke shule wawe wakubwa wachague wakipendacho ukubwani, yy akawaona watu wanamwonea wivu....matokeo yake ndo haya sasa!Willow.!! Msagaji?
Hela zinawasumbua sana ipo siku watabadili nyeti kabisa
But majority...HAPANA MADAM.
WANAUME WOTE HAWAWEZI KUWA MASHOGA.
Hawana uzungu hataa kipunje....hela za utotoni hizohalafu sio wazungu kabisa kabisa!!!!!
kaaaaaaaaaa aibuMtoto wa Kiume wa Muigizaji Maarufu Duniani Will Smith, anayefahamika Kama Jaden Smith mwenye Umri wa Miaka 20 ametangaza Hadharani Kuwa Rapper na mchekeshaji Kutoka nchini Marekani Tyler the Creator alikuwa BoyFriend wake na Bado ni BoyFriend wake.
![]()
Kupitia Clip iliyoanza Kusambaa Sana Kwenye Mitandao ya Kijamii inamuonesha Jaden akiwa kwenye Stage akisia kuwa Tyler ni Rafiki yake Mkubwa wa Kiume na Bado Mpaka sasa wapo nae.
![]()
Wengi wameitafsiri Hii Kama Jaden amekuwa akishiriki Mapenzi ya Jinsia Moja, Kwa Jinsi Alivyokuwa akiongea kwa Hisia kwenye Video hiyo na Ikimuonesha Tyler akiwa na Kicheko kinachomaanisha kuwa Kweli Wawili hawa kuna Jambo litakuwa Linaendelea.
Video Player
00:31
00:50
By Ally Juma.
SOURCE: BONGO FIVE
Ukinambia Illuminati covenants nakubaliana na wewe!...but ukisema kiki sidhani coz Jaden kashaonesha matukio mengi yanayojidhihirisha uchoko mkuuHizi huwa kiki tuu pamoja na maagano ya kishetani.
Unakuta dogo sio punga na anatikisa vuzi vizuri kabisa
HAIWEZEKANI.But majority...
Jada, mme wake na watoto wao wanaishi kwenye ulimwengu tofauti sana na unaouelewa wewe.Hichi kijamaa nilianza kukistukia kwenye movie ya Karate Kid...kilikuwa kina mambo ya kike kike mnoo
Bado mdogo wake Willow nae ni msagaji, Jada atalia na kusaga meno daaah!
Nakubaliana na wewe....sasa unashaurije mkuu ili hili wingu liweze kupungua au kama sio kuisha?HAIWEZEKANI.
KATI YA WANAUMME HAMSINI KUNA SHOGA MMOJA.
KWAHIYO MASHOGA NI WACHACHE SANA.
NA MTU HAAMKI TU KITANDANI NA KUJIITA SHOGA.
IT HAPPENS FROM VERY EARLY AGES.
HahahahaaUkinambia Illuminati covenants nakubaliana na wewe!...but ukisema kiki sidhani coz Jaden kashaonesha matukio mengi yanayojidhihirisha uchoko mkuu
Mmmh...sawa mkuu!Jada, mme wake na watoto wao wanaishi kwenye ulimwengu tofauti sana na unaouelewa wewe.
Kwa hiyo unavyofikiri ata react inaweza kuwa tofauti sana na atakavyo react.
Siwezi kushangaa akisema anampenda na atam support katika maamuzi yoyote yatakayomfurahisha maishani mwake.
After all, Marekani haya mambo yashakuwa blaze.
Will Smith kacheza na gay crowd tangu "The Fresh Prince if Bel Air". Yule Carltin ni gay kitambo tu.
Jada kacheza na kesbians tangu "Set It Off" na siwezi kushangaa nikiambiwa hata yeye kashasagana sana tu.