Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Willow.!! Msagaji?
Hela zinawasumbua sana ipo siku watabadili nyeti kabisa
Yes....unajua Will Smith aliambiwa kitambo kuwa hawa watoto walee na utoto wao, wapeleke shule wawe wakubwa wachague wakipendacho ukubwani, yy akawaona watu wanamwonea wivu....matokeo yake ndo haya sasa!

Unamkumbuka yule mtoto wa " home alone"?
 
kaaaaaaaaaa aibu
 
Hichi kijamaa nilianza kukistukia kwenye movie ya Karate Kid...kilikuwa kina mambo ya kike kike mnoo

Bado mdogo wake Willow nae ni msagaji, Jada atalia na kusaga meno daaah!
Jada, mme wake na watoto wao wanaishi kwenye ulimwengu tofauti sana na unaouelewa wewe.

Kwa hiyo unavyofikiri ata react inaweza kuwa tofauti sana na atakavyo react.

Siwezi kushangaa akisema anampenda na atam support katika maamuzi yoyote yatakayomfurahisha maishani mwake.

After all, Marekani haya mambo yashakuwa blaze.

Will Smith kacheza na gay crowd tangu "The Fresh Prince of Bel Air".Kama si kabla. Yule Carlton ni gay kitambo tu.

Jada kacheza na lesbians tangu "Set It Off", kama si kabla, Queen Latifah ni lesbian kitambo tu. Siwezi kushangaa nikiambiwa hata yeye Jada kashasagana sana tu.
 
HAIWEZEKANI.

KATI YA WANAUMME HAMSINI KUNA SHOGA MMOJA.

KWAHIYO MASHOGA NI WACHACHE SANA.

NA MTU HAAMKI TU KITANDANI NA KUJIITA SHOGA.

IT HAPPENS FROM VERY EARLY AGES.
Nakubaliana na wewe....sasa unashaurije mkuu ili hili wingu liweze kupungua au kama sio kuisha?
 
Mmmh...sawa mkuu!

Binafsi we unachukuliaje au mfano ikutokee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…