Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Walimlazimisha Ukubwa akakutana na Wakubwa (kama kina bobby) wakamtia Ukubwa akafanya ya Wakubwa mwisho yakamfika Makubwa...ndio hawa wenzetu wenye uzungu uzungu mwingi hata hapa TZ..![emoji23]
Na kweli asee....ila Bobby mbona kachomoka kifo,yaan yy ni teja kuliko hata huyo Whitney ( nahis had now anatumia ukimuangalia usoni)...yaan full raha anazaa kila siku kwenye ndoa yake!
 
Na alibusiwa na mashoga na wakaropoka ni mwenzao red carpet, akajifanya kung'aka
Aisee kumbe "!!! basi itakuwa ni bottom jamaa ila anazuga tu "... waweza kuta ni moja ya wale jamaa wanao ingizwa dildo
 
Huyo mbona tangu zamani

UK mwaka 2020 wanaanza kufundisha ushoga mashuleni kuanzia primary schools na umri kuanzia miaka minne

Mjadala leo umepamba moto wapo wanaopinga na wapo wanaokubali
Lakini mikakati imeanza na iko kwenye pipe
Mungu tunusuru
 
RAHA SANA.

WASIOPENDA USHOGA WATAJINYONGA LEO.

Hahahaa
We unapenda?? af we jamaa nikionaga comments zako nakuimagine kama shogashoga hiv (i hope not, maana ntakuchukia japokua sikufaham)..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyo mbona tangu zamani

UK mwaka 2020 wanaanza kufundisha ushoga mashuleni kuanzia primary schools na umri kuanzia miaka minne

Mjadala leo umepamba moto wapo wanaopinga na wapo wanaokubali
Lakini mikakati imeanza na iko kwenye pipe
Mungu tunusuru
Holy Marry mother of god![emoji15] ....tutawalelea wapi watoto wetu??[emoji22]
 
HAIWEZEKANI.

KATI YA WANAUMME HAMSINI KUNA SHOGA MMOJA.

KWAHIYO MASHOGA NI WACHACHE SANA.

NA MTU HAAMKI TU KITANDANI NA KUJIITA SHOGA.

IT HAPPENS FROM VERY EARLY AGES EVEN BEFORE ADOLESCENCE.
So at very early ages ndipo ulipogundua unahitaji MKUNO sio?
 
HAIWEZEKANI.

KATI YA WANAUMME HAMSINI KUNA SHOGA MMOJA.

KWAHIYO MASHOGA NI WACHACHE SANA.

NA MTU HAAMKI TU KITANDANI NA KUJIITA SHOGA.

IT HAPPENS FROM VERY EARLY AGES EVEN BEFORE ADOLESCENCE.
as far as different literatures ar concerned gay ni mtu anayefanya mapenzi ya jinsia moja.. how can a 3year old be gay?? i understand kwamba kuna genetic problems huwa zinatokea... ila gayism is a leant character na sio natural!! it is natural kwa penis na vigina kuinteract maana biology inasupport.. na ts unnatural kwa penis na ass kuinteract hakuna biological support hapo
Gayism is a unnatural or leant character na sio otherwise..[emoji29] [emoji29] [emoji29]
 
Holy Marry mother of god![emoji15] ....tutawalelea wapi watoto wetu??[emoji22]
Nasikiliza mda huu na mjadala umepamba moto
Kuna mama anasema alimpeleka mwanae kwenye ndoa ya jinsia moja
Eti mwanae alufurahia sana, toba
Na mwingine anasema mbona mbali 2020 waanze leo.
Lakini kama unajua kuna sehemu kama Bradford na Luton wao wamepinga vikali sana na hawataki ungese huo
Mungu atunusuru na haya

Yaani wengine wanapinga na wao ndio wanataka liwe somo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…