D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Feb 20, 2020 #21 pancho boy said: Nadhani utakuwa umelewa bro. Hebu rudia tena? English prayer lakini wajerumani wanamuamini na kumpa namba bado ni average? Unajua takwimu zake zinasemaje? Haland magoli anayofunga anayatoa wapi? Click to expand... Wanachokitafuta Dortmand ni kuzivizia English teams wakawachomoa pesa ndefu, lakini huwezi woana Real Madrid au Juve wakajitia kichwakichwa pale.
pancho boy said: Nadhani utakuwa umelewa bro. Hebu rudia tena? English prayer lakini wajerumani wanamuamini na kumpa namba bado ni average? Unajua takwimu zake zinasemaje? Haland magoli anayofunga anayatoa wapi? Click to expand... Wanachokitafuta Dortmand ni kuzivizia English teams wakawachomoa pesa ndefu, lakini huwezi woana Real Madrid au Juve wakajitia kichwakichwa pale.
T The hitman JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 3,673 Reaction score 2,288 Feb 22, 2020 #22 Beira Boy said: Umekosea bro mchezani hatazamwi kwa kufunga magori ya kuvizia Mchezaji ni yule mwenye uwezo wa kumiliki mpira na kuuchezea anavyotaka Kwa kifupi halland ni giroud aliyechangamka Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mpira ni magoli wewe , hizo nyingine zote mbwembwe
Beira Boy said: Umekosea bro mchezani hatazamwi kwa kufunga magori ya kuvizia Mchezaji ni yule mwenye uwezo wa kumiliki mpira na kuuchezea anavyotaka Kwa kifupi halland ni giroud aliyechangamka Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mpira ni magoli wewe , hizo nyingine zote mbwembwe