Nadhani utakuwa umelewa bro.
Hebu rudia tena?
English prayer lakini wajerumani wanamuamini na kumpa namba bado ni average?
Unajua takwimu zake zinasemaje?
Haland magoli anayofunga anayatoa wapi?
Wanachokitafuta Dortmand ni kuzivizia English teams wakawachomoa pesa ndefu, lakini huwezi woana Real Madrid au Juve wakajitia kichwakichwa pale.