Jafe na Kunze umaarufu wao unatokana na nini?

Jafe na Kunze umaarufu wao unatokana na nini?

Biological degenerates. These two freaks appear to have caught a lucky break, as they'd sure as hell ended up as Downs Syndrome babies. If they're out after fame and and money, then they should seriously look into making it in Disney as some sort of African Chipmunks, porch monkeys or whatever.
 
Nchi ina vituko vingi saana..

"Oya jafee, si tunamaliza mzee, eeh.. " hakuwa na lengo la kuchekesha, akabahatisha ikawa kichekesho, sasa wanataka awe mchekeshaji rasmi, nimeona video zao mbili zote mboovu.
Muonekano wake ndio wanadhani kitambeba kwenye kucheksa.
 
Wrong,

Watu wengi sisi wenyewe ndio tunawapa umaarufu, mtu kama Pierre mnamuonea tu, yeye alikuwa mlevi mmoja tu na hakutaka umaarufu wenu, sisi ndio tumempa.

Hata hao kina Kumbuka and co sisi ndio tunawakuza, tunawafanya topic of the town then Boooooom [emoji736] umaarufu huu hapa.

Hata kwa baadhi ya nyimbo za wasanii zinakuzwa na sisi wenyewe.
 
Kuna yule anaitwa sijui Dokta kumbuka,eti nae kawa maarufu kisa anajua kusuta.kuna mwingine kawa maarufu kisa ana mimatiti mikubwa kama maboga.yani vurugu tupu.
Nchi hii ivumuliwe tunatia doa Sana kimataifa duh ujinga sana Hadi kumbuka akakaribishwa bungen na kupiga picha na wazir mkuu
 
Nchi ina vituko vingi saana..

"Oya jafee, si tunamaliza mzee, eeh.. " hakuwa na lengo la kuchekesha, akabahatisha ikawa kichekesho, sasa wanataka awe mchekeshaji rasmi, nimeona video zao mbili zote mboovu.
Mungu pia ndio anajuwa hatm ya mtu utashangaa watapewa mwaliko bungeni na:-ww na elimu yako ujuz wako na taaluma yako hata kuitwa kusalimia ktk kikao Cha sherehe na mazishi upewi mungu ndio anajuwa hatm za watu
 
Ila umaarufu wa watu wa aina hii hua haudumu muda mrefu coz unakua hauna mizizi imara,Pierre Liquid alisha potea,Dr Shika nae alisha potea kabla ya umauti kumkuta R.I.P

Yule Babu wa Loliondo nae akawa maarufu ghafla!
 
Matokeo ya Kunze haya hapa, anaenda kupiga zake PGM fresh kabisa
IMG-20220513-WA0002.jpg
 
Always ukiwa na Roho ya Kazopata kutoka inakuwa ngumu sana,Nyie kuweni mnajadili umaarufu wa watu huku Wao wakijiongezea Kipato.Ujanja ni kujaribu hata kama hujui.
 
Pierre yuko wapi sahv

Maana umaarufu aliupatia kwenye masanga

Ova
 
Kuna mmoja wa Mbeya alikua na makovu hivi Wakubanga sijui?
 
Back
Top Bottom