Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Muonekano wake ndio wanadhani kitambeba kwenye kucheksa.Nchi ina vituko vingi saana..
"Oya jafee, si tunamaliza mzee, eeh.. " hakuwa na lengo la kuchekesha, akabahatisha ikawa kichekesho, sasa wanataka awe mchekeshaji rasmi, nimeona video zao mbili zote mboovu.
Nchi hii ivumuliwe tunatia doa Sana kimataifa duh ujinga sana Hadi kumbuka akakaribishwa bungen na kupiga picha na wazir mkuuKuna yule anaitwa sijui Dokta kumbuka,eti nae kawa maarufu kisa anajua kusuta.kuna mwingine kawa maarufu kisa ana mimatiti mikubwa kama maboga.yani vurugu tupu.
Mungu pia ndio anajuwa hatm ya mtu utashangaa watapewa mwaliko bungeni na:-ww na elimu yako ujuz wako na taaluma yako hata kuitwa kusalimia ktk kikao Cha sherehe na mazishi upewi mungu ndio anajuwa hatm za watuNchi ina vituko vingi saana..
"Oya jafee, si tunamaliza mzee, eeh.. " hakuwa na lengo la kuchekesha, akabahatisha ikawa kichekesho, sasa wanataka awe mchekeshaji rasmi, nimeona video zao mbili zote mboovu.
Kumbe yuko vizuri.Matokeo ya Kunze haya hapa, anaenda kupiga zake PGM fresh kabisaView attachment 2222328
🤣🤣🤣🤣Kuna yule anaitwa sijui Dokta kumbuka,eti nae kawa maarufu kisa anajua kusuta.kuna mwingine kawa maarufu kisa ana mimatiti mikubwa kama maboga.yani vurugu tupu.