Wrong,
Watu wengi sisi wenyewe ndio tunawapa umaarufu, mtu kama Pierre mnamuonea tu, yeye alikuwa mlevi mmoja tu na hakutaka umaarufu wenu, sisi ndio tumempa.
Hata hao kina Kumbuka and co sisi ndio tunawakuza, tunawafanya topic of the town then Boooooom [emoji736] umaarufu huu hapa.
Hata kwa baadhi ya nyimbo za wasanii zinakuzwa na sisi wenyewe.