GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani ukifungua Ukurusa wa Haniu unaikuta Habari hiyo hiyo ambayo Msigwa nae ameiweka kitu ambacho nadhani kungekuwa na Utaratibu mzuri tu wa Kiutendaji basi Jukumu hilo angekuwa analifanya Mtu Mmoja pekee.
Nadhani (Ushauri wangu Binafsi) hiki Cheo cha Ukurugenzi wa Ikulu kingeongezewa pia na Jukumu la kuwa Msemaji wa Serikali na hiyo Idara ya MAELEZO nayo ingekuwa chini yake pia.
Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE natafuta 'Logic behind' Kuzitenganisha hizi Nafasi za Jaffar Haniu wa Ikulu na Gerson Msigwa wa MAELEZO sijaipata ila ninachokiona tu sasa ni kama vile Gerson Msigwa ' wants to outshine ' Jaffar Haniu wa Ikulu ili Yeye ( Msigwa ) aendelee kuwa ' Masikioni ' mwa Watanzania wakati Kiuhalisia muda wake wa Kusikika ulihitimika rasmi tarehe 17 Machi, 2021.
Na Wewe ' Brother ' Jaffar Haniu wa Ikulu anza ' Kuchangamka ' sasa kwani tunaokujua tokea ukiwa TBC na AMG tunajua ' you're very far Professionally ' kuliko huyo Gerson Msigwa anayejitutumua na kuwa na ' Kiherehere ' mno katika Awamu hii ya Mama ( Rais ) kuliko ile ya aliyekuwa akimpenda na akimbeba ya Mwendazake (Hayati) wa Chato.
Na msipoangalia 'mtarogana' ile mbaya.