Jaffar Haniu na Gerson Msigwa, kubalianeni nani wa kutoa Habari za Rais. Mnatuchosha na kutuboa tu

Kwasababu Jafar Haniu ni Muislam lazima mama atamweka kibindoni, yule Msigwa mla kitimoto lazima apelekwe mbali huko
 
Hizo ni akaunti zao binafsi, huwezi kuwakataza bali kama unataka kupata habari nenda kwenye akaunti za IKULU MAWASILIANO na IKULU TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna shida msigwa akitupa updates za ikulu

Punguza kiherehere
 
Msigwa akubali kuwa enzi za kitabu chake umeisha. Mbona simple!!!
 
Habari za Ofisi zote za Umma lazima zitumwe kwa Msigwa, ni Sheria
 
Kwni bado Msigwa naye anatembea nyuma ya mama kama enzi za Mwendazake?? Ofisi anamwachia nani? Awe makini anaweza kunyofolewa kwakutojua mipaka ya kazi yake, akasome vizuri JD yake
 
Mkuu mbona Unapenda Sana kujitaja kwenye threads zako,huwezi kubadilika,mbona unajikuta Sana wewe?
 
Ahahahhaaha...we jamaa nakukubali sana Mkuu..
Ulichokiandika hapa Mkuu nakuhakikishia ' Kimewakwaza ' Watu wengi tu wenye ' Kisununu ' nami hapa JamiiForums na usishangae ukiona wengine wakija na wakikuambia kuwa hii ID yako ni Mimi mwenyewe na najipigia ' Promo ' hapa.
 
Mkuu mbona Unapenda Sana kujitaja kwenye threads zako,huwezi kubadilika,mbona unajikuta Sana wewe?
Jina ( ID ) niliyoichagua na Kuitumia hapa JamiiForums huu ni mwaka wa nane sasa ya GENTAMYCINE Wewe nikijitaja nayo mara kwa mara hapa inakutesa nini au inakupunguzia nini? Pumbavu.
 
Genta a.k.a JASUSI kavurugwa. Msigwa tulia benchi!
 
Ulichokiandika hapa Mkuu nakuhakikishia ' Kimewakwaza ' Watu wengi tu wenye ' Kisununu ' nami hapa JamiiForums na usishangae ukiona wengine wakija na wakikuambia kuwa hii ID yako ni Mimi mwenyewe na najipigia ' Promo ' hapa.
Gentamycine, in kipindi kirefu nakufuatilia huwa unakuwa na NONDO za maana sana, kiufupi nakukubali, pia ni mnyama mwenzangu! Kwani kunaubaya gani kumsifia MTU.
 
Msigwa akafanye kazi chini ya yule dakatari wa mabox ambaye ndiye katibu mkuu wa wizara, kazi ya msemaji wa ikulu amwachie mhusika mwenyewe aache kuleta wenge.
 
Kwani zile barua za teuzi za sasa, huwa zina sahihi ya nani kati ya Msigwa na Haniu?

Kwemye kuweka sahihi yake oale ndie mwenye mamlaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…