Hehe nakubaliana na wewe mkuu. Hata ukiangalia kwa umakini ikiwa unaifahamu Nairobi vizuri utacheki hapo ni Westlands na pembeni kuna Safaricom house. WaTZ kuwachezea mind games rahisi aisee.
Jombaa, tuwe wakweli bana. Njagua ni mtu ovyo kupindukia, matamshi yake ya kichonganishi kando, kwenye uongozi ni zero! Kilichombeba ili akachaguliwa ni chama cha Jubilee tu na pia alivyolia baada ya kuchezewa rafu na aliyekuwa mbunge wa Starehe Maina Kamanda. Kwenye shughuli za 'nominations' za wagombea ubunge wa chama cha Jubilee. Jamaa anatuangusha sana kama vijana, mara sijui wapigane makonde na kinyangarika mwenzake Babu Owino wa ODM. Alafu ndio yeye huyu tena na chuki dhidi ya wageni. Umemsikia hata siku moja akiongea bungeni kuhusu masuala yanayohusu vijana wenzake? Watu wa eneo bunge la Starehe watajuta kutompigia kura Boniface Mwangi 'Boni Boni', mkenya halisi, kijana jasiri, kiongozi natural na mtu mwenye maono makubwa kwa nchi yetu tukufu ya Kenya. Watz nawaombeni wajameni, huyu lofa akitia mguu wake Tz, piteni na shingo!.
Akaunti haija'hackiwa'. Ikifika kwenye masuala nyeti kama haya tuwe makini tafadhali, on a personal level. Nawaombeni wakenya wenzangu, tusikubali kuingia kwenye mtego wa wanafik, watanzania kwa wakenya, ambao kazi yao kuu ni kueneza chuki tu. Tutaniane, tupeane motisha na tukumbuke ushindani kati yetu ni jambo la kawaida. Nina jamaa zangu kule kwetu gatuzi la Kajiado ambao wana wajomba na shangazi upande wa pili wa boda Longido. Nimesoma na watz, nina marafiki watz, nimefanya na nazidi kufanya biashara na watz kutoka Tarakea, Moshi na Arachuga. Nakuhakikishia kwamba yale matamshi ya kipimbi ya Njagua yametuvuruga kweli kweli na itachukua muda kabla hali irudi kama ilivokuwa hapo awali. Sina muda na mtu ambaye ananiletea hasara akifata kiki ndombolo za kisiasa. Uchaguzi ujuo utakapowadia ndio Njagua ataufahamu vizuri mziki wa nguvu za kwa pamoja, za wachagga na wakazi wa gatuzi la Kajiado na Narok.Maneno ya huyu MTU au akaunti imehackiwa?
We tutangazie tu kuwa ngozi na fuvu la juagwa vinaleta Mali ,,,, uone atakavyo sakwa hadi KenyaJombaa, tuwe wakweli bana. Njagua ni mtu ovyo kupindukia, matamshi yake ya kichonganishi kando, kwenye uongozi ni zero! Kilichombeba ili akachaguliwa ni chama cha Jubilee tu na pia alivyolia baada ya kuchezewa rafu na aliyekuwa mbunge wa Starehe Maina Kamanda. Kwenye shughuli za 'nominations' za wagombea ubunge wa chama cha Jubilee. Jamaa anatuangusha sana kama vijana, mara sijui wapigane makonde na kinyangarika mwenzake Babu Owino wa ODM. Alafu ndio yeye huyu tena na chuki dhidi ya wageni. Umemsikia hata siku moja akiongea bungeni kuhusu masuala yanayohusu vijana wenzake? Watu wa eneo bunge la Starehe watajuta kutompigia kura Boniface Mwangi 'Boni Boni', mkenya halisi, kijana jasiri, kiongozi natural na mtu mwenye maono makubwa kwa nchi yetu tukufu ya Kenya. Watz nawaombeni wajameni, huyu lofa akitia mguu wake Tz, piteni na shingo!.
Haaa mi nilijua unaishi kibera kumbe siyo!!!!!!![emoji44][emoji44][emoji44]Maneno ya huyu MTU au akaunti imehackiwa?
Dhambi imemtafuna sana moyoni mwake ndio maana Kaja Tz muungwana ni kitendo, hiki ni kisiwa cha Amani twamsamehe bure bila deni π€π€
Agree with you 100%... immature and lacking in leadership qualities. He is an embarrassment to the youth of this country and Africa as a whole.I think what this guy is very childish,
Seems he is only aged but very immature cognition.
Dhambi imemtafuna sana moyoni mwake ndio maana Kaja Tz muungwana ni kitendo, hiki ni kisiwa cha Amani twamsamehe bure bila deni [emoji1666][emoji1666]