Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera zake kafanya vizuri...ila nawaza tu walifungwa kwa kosa gani, kama ni majambazi sugu je!!!
Think big kuna kesi ya ujambazi yenye fine dunia hii?
sio wote tulio endaa jelaa wote wa tuhumiwaHongera zake kafanya vizuri...ila nawaza tu walifungwa kwa kosa gani, kama ni majambazi sugu je!!!
sio wote tulio endaa jelaa wote wa tuhumiwa
Hongera zake kafanya vizuri...ila nawaza tu walifungwa kwa kosa gani, kama ni majambazi sugu je!!!
Jaguar mtu wa action jamaa ameanzia chini kabisa amekua juu hadi kumiliki ndege yake!! Dogo fighter namkubali Sana huyu Prezzo Kama wazazi wake wasingekua na pesa asingekua hivo mtoto wa mama yule!!
Ujambazi uwa hakuna fine. Jela lazima.
Makosa madogo madogo ndio uwa kuna option ya jela au fine
Hao kenya hawajui kesi ipi ya faini kubwa wala ipi itoze faini ndogo.Hebu fikiria wale wabakaji waliopewa adhabu ya kufyeka nyasi na kuamsha zao na kuendelea na mishe za kila siku?!
"Nlikuwepo":bolt:
Ula huyu Jaguar nyimbo znafanana mpk inakera. Nmetoka mbali,kigegeu,matapeli,kipepeo na sahv kioo. Yan biti znafanana na almost meseji ni ileile khs yy na maisha yake tu