Jaguar: Awatoa jela wale wafungwa aliyo fanya nao video...

Jaguar: Awatoa jela wale wafungwa aliyo fanya nao video...

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mwanamuziki Jaguar wa Kenya Amefanya jambo la Maana baada ya kuwatoa wafungwa wawili jela ambao aliomba afanye nao Video ya Kioo Wimbo wake unao tamba sasa...Alifanya hivyo kwa kuwalipia Fine ambazo walikuwa wanadai na hivyo Serekali kuwaachia Huru....Big Kaka
 
Hongera zake kafanya vizuri...ila nawaza tu walifungwa kwa kosa gani, kama ni majambazi sugu je!!!
 
Think big kuna kesi ya ujambazi yenye fine dunia hii?

Nitajuaje? Mi si lawyer, wala si police...what I knw wanaoua, wanaobaka wanatoa tu hela haooo wanaingia zao mtaani...
kwahiyo sijui ipi ni kesi ya faini ipi sio.
 
Jaguar mtu wa action jamaa ameanzia chini kabisa amekua juu hadi kumiliki ndege yake!! Dogo fighter namkubali Sana huyu Prezzo Kama wazazi wake wasingekua na pesa asingekua hivo mtoto wa mama yule!!
 
Jaguar mtu wa action jamaa ameanzia chini kabisa amekua juu hadi kumiliki ndege yake!! Dogo fighter namkubali Sana huyu Prezzo Kama wazazi wake wasingekua na pesa asingekua hivo mtoto wa mama yule!!

Prezzo siku hizi hana pesa amewekeza kwenye wanawake adi anajiita mswati. Pesa ni za mama yake ndio uwa mfanyabiashara.

Jaguar ameanzia kwenye umasikin uliotukuka na ndio maana yuko makini sana. Anawekeza kwenye biashara. Anafanya biashara nyingi. Na amemzidi prezzo kimapato kwa sasa
 
Ujambazi uwa hakuna fine. Jela lazima.
Makosa madogo madogo ndio uwa kuna option ya jela au fine

Hao kenya hawajui kesi ipi ya faini kubwa wala ipi itoze faini ndogo.Hebu fikiria wale wabakaji waliopewa adhabu ya kufyeka nyasi na kuamsha zao na kuendelea na mishe za kila siku?!

"Nlikuwepo":bolt:
 
Hao kenya hawajui kesi ipi ya faini kubwa wala ipi itoze faini ndogo.Hebu fikiria wale wabakaji waliopewa adhabu ya kufyeka nyasi na kuamsha zao na kuendelea na mishe za kila siku?!

"Nlikuwepo":bolt:

Siyo kwamba hawajui ila polisi wa kenya wanapenda sana kitu kidogo ( rushwa)
 
Ula huyu Jaguar nyimbo znafanana mpk inakera. Nmetoka mbali,kigegeu,matapeli,kipepeo na sahv kioo. Yan biti znafanana na almost meseji ni ileile khs yy na maisha yake tu
 
Ula huyu Jaguar nyimbo znafanana mpk inakera. Nmetoka mbali,kigegeu,matapeli,kipepeo na sahv kioo. Yan biti znafanana na almost meseji ni ileile khs yy na maisha yake tu

Afadhali kama na wewe umeliona hilo,mimi hadi huwa najiuliza mafanikio yake yamekuja kupitia mzik au ishu nyingine? Coz wimbo wake wa maana ni kigeugeu tu,hizi nyingine ni kama remix,anapita mulemule alimopita kwenye kigeugeu.Hana jipya kwenye mziki
 
Back
Top Bottom