Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Vikauli vyake kwa marekani vinatosha kabisa kuingia kwny orodha ya watu hatari ambao CIA inapaswa kuwa hudumia kabla shida haijawa kubwa
OTE="Sevenjr, post: 31952804, member: 498527"]
Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga.
.
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
--------------
Wakenya wametoa saa 24 kuhakikisha wafanyabiasha raia wa China, Pakistan,Tanzania na Uganda wameondoka nchini mwao na kuwaachia maeneo yao, la sivyo wageni hao watatembezewa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1138015
[/QUOTE]
Vik
 


Ninakumbuka sana hotuba ya baba wa Taifa la Tanzania, Mwl. Julius Nyerere kuhusu Ubaguzi, alisema hivi " Ubaguzi ni sawa sawa na kula nyama ya MTU, ukishaanza kubagua huwezi kuacha, mtaendelea". Hiki ndicho kinachotokea kwa Kenya, baada ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwa misingi ya ukabila na maeneo wanayotoka, sasa wameona ni vyema waelekeze ubaguzi wao kwa mataifa jirani.

Kitu cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba, kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakijinasibu kwamba wao hawaogopi ushindani wa biashara, na sio watu wanaolinda ajira zao (Protectionists).

Walianza na kampeni ya "Play Kenyan Music", walipoona imeshindikina, sasa wanataka kuanzisha fujo na kuwapiga wageni wote wanaofanya biashara huko kwao, hata kama wanafanya biashara halali.

Swali kwa watanzania wa JF, kwasababu imekua ni tabia ya wakenya kuanzisha fujo Mara kwa Mara kama njia ya kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao badala ya kutumia mfumo wao wa sheria, kama kweli watawadhuru watanzania, waganda, Rwanda au Burundi, tuwachukulie hatua gani?.

Tumieni sheria na taratibu za nchi menu kuwatoa nchini kama wanaishi na kufanyakazi kinyume na sheria, ndivyo alivyofanya Magufuli, kinyume cha hapo ni ukiukwaji wa sheria, hatutovumilia.
Magufuli yeye hukiuka sheria tena nyingi sana yule jamaa sio wakuiga kabisa.
 
Hta hilo pia unapinga jamani...umesahu na toothpick
Mkuu huhitaji kubishana na wenye mihemko! Kujisahaulisha ni kama jadi kwetu... hivi zile zi "kologeti... b29... na.... na...." huwa viwanda viko pale Namanga, Horohoro na Sirari?
Hivi samahani huu uzi unahusu nini lakini? Ina maana tumekosa kabisa vitu vya maana tunavyoweza kujadili...?
 
Jukwaa hili kila siku huwa mnatuponda waTz kuwa ni wazembe kumbe tumewakalia kooni tena nchini kwenu.
Kwel nimeamin kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwenyewe
 
sasa toothpick zinatusaidia nini,tukiamua ni siku mbili tu tunatengeneza...kwanza stick za kenya ni za hovyo sana,zinatanua meno na zinavunjika kijinga jinga
Bila shaka wewe n mzalendo...kubishana na wewe ni sawa na kujipotezea mda
 
Jaguar anawashwa kundu.Yani mimi nikimkamata namtengeneza mtori aisee!
 
Siwezi kuisemea fani yako....
Inawezekana ungali ukitumia "magwanji" kwa shughuli mbalimbali...
Acheni maisha ya kujipendekeza...
Hata wale wanunuzi feki wa "koroshow" mliowakaribisha kwa mbwembwe walitoka Kenya...
Si kila wimbo lazima tuuimbe... Nanukuu: "mtu mjinga akikwambia neno la kijinga nawe ukalikubali atakuona...."
Na wewe sijui nikuite mseng& mbona unaongea kinyume na mimi nilichomuuloza jamaa mm nimeongea kuhusu maswala ya manunuzi hapa? Nimemuuliza sabuni gani na dawa gani za meno tunazowategemea wakenya nashangaa unakuja kuongea uharo tu hapa
 
Hii kazi kashindwa Hitler Ujerumani na Idi Amin Uganda. Ataiweza Jaguar?
 
Na wewe sijui nikuite mseng& mbona unaongea kinyume na mimi nilichomuuloza jamaa mm nimeongea kuhusu maswala ya manunuzi hapa? Nimemuuliza sabuni gani na dawa gani za meno tunazowategemea wakenya nashangaa unakuja kuongea uharo tu hapa
Inasikitisha unavyotutangazia fani na kazi yako kila wakati hapa jukwaani...
Situmii hiyo kitu usijipendekeze ukikwepa mimba kuna ukimwi
 
Habari zenu wadau...

Napenda kuchukua fursa hii kuwaomba wadau watiririke chochote wanachokijua kuhusu kinachotrend kuhusu Jaguar maake sina taarifa kamili kuweza kuiandika hapa jamvini lakini naimani wadau watatujuza.

Nawasilisha
 
Moja kati ya wa-Kunya mburura ni pamoja ni hilo jamaa Janga-Jaguar!
 
ndio matatizo ya kuwapa wendawazimu uongozi. kwa wenzetu viongozi huwa wanaandaliwa. sisi manyani sasa. tunakurupuka tuu.
 
Yalianza south Afrika, yakahamia Rwanda na Burundi sasa yameingia Kenya...wote waafrika lakini tumeanza kukomalia mipaka tuliyowekewa na makaburu..Hili bara kupata maendeleo itakuwa baada ya ulimwengu huu kwisha.
 
Back
Top Bottom