Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Ni kweli kabisa nahic na yeye amekubwa naka Pepo fulani hivi kanakowapitia baadhi ya viongozi hapa nchini ya kuongea alafu unakuja kutafakari baadae kumbe umeongea pmb
Uchaguzi ukikaribia akili huwaruka baadhi ya wanasiasa.
 
Duuh tunasikia tu anataka kumpindua jiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siioni ile dhana ya AFRICA UNITE . kama Mimi ningekuwa ni kiongozi wa juu nchini Kenya ningemsuribisha huyu kijana anayejiita JANGWA kwanza angepokea kichapo cha kijeshi cha mbwa mwizi afu ataje hao wenzie anaotaka shirikiana nao kuaribu ujirani wa mataifa yetu ya Africa yani na ubunge wake ungefika kikomo huyu mpuuzi hafai kua kiongozi wa umma nashangaa serikali ya Kenya imemkalia kimya mpaka saahizi huyu ndezi asiyejielewa
 
You need to follow legal procedure, not otherwise.
 
Tufunge mipaka, tuaze kuhujumiana. Tuone Nani watakaopata hasara. 255 Kuna Walimu kibao wanafanya kazi huku. Machimba ya Tanzanaite. Dhahubu wako Wakenya kibao. Mahoteli. Vodacom. Kariakoo. Tusijifanye majuhaa. Kila nchi Kuna Wakenya na Watanzania. Tunahemana
 
Wewe jakuwa njoo toa takataka zako huku Arusha wanashika nyadhifa mbali mbali wanakula vizuri kuliko sisi walikuja na njaa kama nini wanakimbilia makarai ya samaki kutoka mwanza na kuzoa kama nini.
Nyie mnanini kazi njaa tu tukiamua kufunga boda hadi wewe utabakia na njaa .
Sasa watoe huko jimboni kwako nasisi tuwatoe nchi nzima.
Mkae na njaa na mlipuliwe na alshababu kisa na mnajionaga sana.
 
Na hii mikenya iliyo jazana hapa Arusha unaiongeleaje? Tutawafukuza kwa vipigo manina
Haiwesi fukusa sisi. Kama nafukusa sisi toka Arusa sisi tutafunga mipaka tuone kama hiyo ofisi haitakufa
 
ameimba wimbo uitwao kigeugeu, asante kigeugeu
 
Watanzania tunajidhalilisha. Yaani akiongea mbunge tayari inakuwa ni tamko la serikali? Kwa hiyo Lusinde akisema hawataki Wachina kule Mtera, ichukuiwe kwamba Watanzania wamewafukuza Wachina? Ndio maana tunachekwa kwa ujinga
Yaani wewe ni jinga kabisa South Africa wanavyofukuza wageni na kuwaua ni tamko la serikali yao? Fala sana wewe
 
Kweli kabisa sasa nashangaa wapumbavu fulani wanasema nikauli ndongo
 
My friend if we reach at this point Kenyans will suffer alot they are more. 90 of Kenyans in Tanzania are here illegal. From within my work circle i know more than 20 Kenyans working illegally some of them owning farms. Dont pray for this to happend because we will pay back
 
Jukwaa hili kila siku huwa mnatuponda waTz kuwa ni wazembe kumbe tumewakalia kooni tena nchini kwenu.
Kwel nimeamin kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwenyewe
Kuruka ruka kwa bisi sio maharage[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tumasubiri walianzishe tu. Alafu wangejua mjomba asivyowapenda wanfetulua tu
Ahahahahahahah..Na kama unavyojua uncle mwenyewe ni dakika 2 mbele.Anyway..wamemtosa jamaa hata hivyo.Tz kwa ukanda huu bado ina ushawish mkubwa sana.Wametoa tamko la kumkataa jamaa na jana nasikia alidakwa akaswekwa korokoroni
 
Do you ever think before talking? How can an illegal immigrant own land, unless your immigration and land laws are weak. Also if there are illegal Kenyan workers in Tanzania then they should be deported back to Kenya. Third, Kenya will not get hurt by this do not overestimate your importance to Kenya. If it was Uganda it would be another issue since they are our largest trading partner in the eac. Fourth, Anecdotes are not evidence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…