Jah Prayzah ft Diamond collabo kali zaidi ya mwaka huu

Jah Prayzah ft Diamond collabo kali zaidi ya mwaka huu

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Nimetoka kucheki nyimbo mpya mpya ya mzimbambwe Jah Prayzah aliomshirikisha Diamond Patnumz inatwa watora mari nawe.Nasema ni moja ya nyimbo kali nilizozisikia mwaka huu lili kitu kipo on point audio mpaka video.

Nimejaribu kuipandisha hapa imenigomea anaeweza atusaidie.

Big up Diamond kazi nzuri iliofanyika wasafi
 
Bonge moja la ngoma, Chibu sijui Kizimbabwe kajifunza lini, Wazimbabwe wamependa kuona msanii mkubwa Africa kutoka Tanzania anaimba Kizimbabwe. Siku Diamond akipiga show Zimbabwa hadi Mgabe atakua ndani ya nyumba. Kwa level hizi sidhani kama Clouds watafika dau la Diamond Fiesta.
 
Naskia now anaTrend huko zimbabwe balaa talk of the town" hii ngoma kweli ndio best collabo ya Diamond 2016
mie naona collabo ya Psquare nayo imeenda shule, ziara ya zimbabwe hiyo show itabidi iambatane na uzinduzi wa ndege mpya ya ATCL tunaenda na pipa letu baada ya show tunarudi nalo, pia afanye ziara ya Gabon Benin na Ghana.
 
Huwaga hamkosekani..!!!
hamumsaidii.... naona mnacheza tu shere..... kuna nyimbo anaimba vizuri na kuna nyimbo za hovyo, sasa mkiambiwa ukweli mnaona jamaa anaonewa wivu, kwa lipi labda?, ngoja zikibuma tutakutana tena hapa.... kipaji hakilazimishwi
Muulize Wiz Kid.......
 
Nilitaka nijue upo UPANDE gani...
Na kama nilivyotegemea umefanikiwa kunionesha upande wako..!
Huyo wizkid unayemzungumzia pia huwa anakosea..!
Swali: Nani analazimisha kipaji..!?
 
Back
Top Bottom