Yaani hata kama hatusikii maneno yote, lakini huu mzikinukiusikiliza mwili wote unasisimka...Hii ngoma ni hit kubwa sana pale Zimbabwe na Jana alikuwa na show huko alichokifanya mungu pekee ndio anajua maana wazimbabwe wanang'ang'aniza arudi tena hima hima akate kiu yao rasmi.
Watora mali ni kishona hiki kinamaana umeshachukua pesa au mahari. Na Leo ndio concert itakafanyika Huyu mondi akiwa na huyo jamaa jay prahyz kwenye hiyo Watora Mali concert.