Jamani hii ngoma balaa, siku akienda Zimbabwe itabidi aende na watu wa usalama,
Daaah hii ngoma ni hatarii bonge la pu×××
[emoji445][emoji445][emoji445]Sikuhiz kidigitali unapata ambacho unakionaa
Yanini hosipital wakat kwako napooonaaa" [emoji445][emoji445][emoji445]
Chibu jini
Naskia now anaTrend huko zimbabwe balaa talk of the town" hii ngoma kweli ndio best collabo ya Diamond 2016Jamani hii ngoma balaa, siku akienda Zimbabwe itabidi aende na watu wa usalama,
mie naona collabo ya Psquare nayo imeenda shule, ziara ya zimbabwe hiyo show itabidi iambatane na uzinduzi wa ndege mpya ya ATCL tunaenda na pipa letu baada ya show tunarudi nalo, pia afanye ziara ya Gabon Benin na Ghana.Naskia now anaTrend huko zimbabwe balaa talk of the town" hii ngoma kweli ndio best collabo ya Diamond 2016
Sauti ya Diamond imenichosha kabisa, very Rocky weacha tu sijui anatumia supu ya pweza siku hizi?BOOOOOOOOOOOOOONGE MOJA LA GOMA,KUDADADADADADADADEKI.
Huwaga hamkosekani..!!!honestly looks like a nice video lakni sijapata kitu, Kidogo ya P-square was gold...
hamumsaidii.... naona mnacheza tu shere..... kuna nyimbo anaimba vizuri na kuna nyimbo za hovyo, sasa mkiambiwa ukweli mnaona jamaa anaonewa wivu, kwa lipi labda?, ngoja zikibuma tutakutana tena hapa.... kipaji hakilazimishwiHuwaga hamkosekani..!!!
Nilitaka nijue upo UPANDE gani...hamumsaidii.... naona mnacheza tu shere..... kuna nyimbo anaimba vizuri na kuna nyimbo za hovyo, sasa mkiambiwa ukweli mnaona jamaa anaonewa wivu, kwa lipi labda?, ngoja zikibuma tutakutana tena hapa.... kipaji hakilazimishwi
Muulize Wiz Kid.......