Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Me pia toka nilipo icheki sure hii ngoma ipo level za number one smash hit anthem hiiNimekumbuka enzi za my number 1.....
Sure mkuu ivi Olympic hakuna mashndano ya kuimba?Acha atusaidie tena bora angeenda olimpic huyu tungepata medal
Teehhhhhhhaje aje aje aje aje hata njooo njooo njooo njooo ina maana sawa
Mapenzi siyo suluari ikichanwa itashonwa.....wow nyimbo nzuri na video iko poa sana......natumai itafika mbali sana .
Daaah hii ngoma ni hatarii bonge la pu×××
[emoji445][emoji445][emoji445]Sikuhiz kidigitali unapata ambacho unakionaa
Yanini hosipital wakat kwako napooonaaa" [emoji445][emoji445][emoji445]
Chibu jini
NYOMBO[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nyombo nzuri ila Zimbabwe inaonekana hakuna mikwaju mikali....[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Asante sana mkuu kwa hii tafsiri,hii ngoma huyo jamaa akiipa promo vizuri itafanya poa sana uko kwao.
Nimeona DIAMOND kaweka video yao wakati inazinduliwa jinsi kulivyojaa nyomi ya watu.Kaka unajua huyu jamaa kabla ya kutoa hii nyimbo alishatoa wimbo wake mmoja unaitwa Jerusalema, sasa ukiangalia hiyo video ya huo wimbo ni kama alikopi kitorondo ile ya Diamond, Wazimbabwe walimpigia kelele sana kuwa kakopi huo wimbo kutoka kwa Diamond na hapo alishawahi pia kuwa na skendal ya kukopi wimbo mmoja wa Kinigeria,
Yeye alijitetea kuwa hajawahi ona video ya Diamond kwa hiyo ilitokea kama coincidence tu, nadhani jamaa alikuwa anamkubali sana Diamond, na katika miziki yake yote hajawahi kutoa mziki mkali na video kali kama hii, jamaa kajituma mno TAFUTENI VIDEOMYA JAMAA JERUSALEMA
Tangu jana huo wimbo Harare na Bulawayo umekuwa kama wimbo wa Taifa
Nitajaribu kuleta full translation ya huo wimbo
Cc: Activity Ratio , Ubavu , Ibrah0404 , _Iramba , pumzihaiuzwi , The bold , kijana wa leo , samsun , eddy ,
imetosha, umemalizaKinachoniacha hoi kwenye hizi nyimbo za waafrika ni ngozi nyeupe, siwachukii wazungu wala sina shida nao, lakini hawa wasanii wa Afrika wanafananisha mafanikio na kua mweupe, yaani nyimbo zao wamejaa wazungu tupu, huyu angalau kagusia weusi kidogo, platnumz, harmonize, sasa hivi rich mavoko naye, wamepanda chati sasa ni wanawake wa kizungu tu kwenye shooting zao, wakiwa wanaimba nyimbo za shida kama harmonize matatizo ndio wanampachika mweusi pale.
Tusitegemee mabinti wetu kuacha kujichubua au kukaa na presha kila siku wakijihisi kua ni wabaya, na mtu asije na excuse kua afrika kuna mixed races, ndio ila wazungu ni chini ya 5% ya population nzima. Hii kitu wengine tunakichukulia simple ila unconsciously kina affect wadada hawa, wazungu hawana muda na kuonyesha wadada weusi, nilitegemea waafrika tutakua mstari wa mbele kusupport wa kwetu, angalia wanigeria walianza sasa na watanzania pia, hadi mlalamikiwe ndio mnaweka ngozi nyeusi mara moja moja ka mmelazimishwa. Watu wanasahau sana walipotoka, muziki wa kiafrika unauza sasa hivi baada ya sisi kukubali culture yetu na kuitangaza, tunavotupia wazungu tukidhani tutauza na nje ni upumbavu, tukubali na rangi yetu kua ni weusi ili tuendelee kua unique. Wachina wanasupport vyao, wahindi, waarabu, ila waafrika tu ndio tunajipendekeza.
HahahahaHuyo video vixen sjui wamemtoa wapi sura kama yangu.bora hata wangemchukua giggy au masogange