Jah Prayzah ft Diamond collabo kali zaidi ya mwaka huu

Mimi nimepapenda sana hapo alipoimba "daresalama gumba"kuzimbabwe gumbaaa"

Watoramali...moja ya featuring bora kabisa kuwahi kuzifanya kwa Diamond
 
Hii ngoma ni hit kubwa sana pale Zimbabwe na Jana alikuwa na show huko alichokifanya mungu pekee ndio anajua maana wazimbabwe wanang'ang'aniza arudi tena hima hima akate kiu yao rasmi.

Watora mali ni kishona hiki kinamaana umeshachukua pesa au mahari. Na Leo ndio concert itakafanyika Huyu mondi akiwa na huyo jamaa jay prahyz kwenye hiyo Watora Mali concert.
 
Mwanaume kazini kina dada mitandaoni na vijembe vya pete mara sijui original nn mshm!
 
Jamaa anajitahidi sana, ila sasa aachane kujibizanajibizana na watu hovyo hovyo. Yeye aendelee kuzungumza kupitia kazi zake. Ngoma imetulia.

Ki ukweli hapa CHIBU umelinogesha hili sng balaaaaaaaa....Respect man!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…