Jah Prayzah ft Diamond collabo kali zaidi ya mwaka huu

Yaani hata kama hatusikii maneno yote, lakini huu mzikinukiusikiliza mwili wote unasisimka...
 
Chibu wakimbizeeeee.....team mipasho kakorogeni povu
 
Ukisoma comments za huu uzi ukalinganisha na shoo aliyofanya kweli huyu jamaaa habahatishi

comments zimejieleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…