Jahazi imezama ikielekea Songo songo kutokea Mafia

Kitutia hapo kna mkondo mmbaya sana
Kwa mabaharia watakuwa washaelewa

Aise poleni sana

Ova
 
Poleni sana. Pia chukueni tahadhari kwa kubeba life jackets na kuweka maboya katika majahazi.
 
Wewe utakuwa mmoja wao, mnaambiwa wekeni maboya kwenye majahazi yenu hamtaki, eti mnajua kuogelea!
Siwezi kukutukana sipendi mkeo akalia.
mama yako ndo alisema tuweke maboya ili ikizama zibaki boya zikielea
 
na mwengine ashapatikana bado wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…