mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kitutia hapo kna mkondo mmbaya sanahio iliondokea bandari ya jibondo kabla ya kuondoka kuna jamaa walimpakia alikuwa mgonjwa walikuwa wanampeleka kwao kilwa kabla jahazi kuondoka yule mgonjwa alifariki akiwa ndani ya jahazi kosa walofanya wakashusha maiti maiti ikachukuliwa ikazikwa siku pili wao baada kushusha maiti waliondoka usiku ule ule usiulize kitutia na nyuni
Kwa mabaharia watakuwa washaelewa
Aise poleni sana
Ova