princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Wakuu habarini za wakati huu hopefully mko vyema ngoja niende direct kwenye mada baada ya kipindi cha Jahazi kinachoruka kila siku za jumatatu hadi ijumaa saa10 hadi saa1 ucku pale Clouds FM Kikiongozwa na George Bantu sambamba na Captain Gadner G-Habash kumpoteza mzee wa Aslaam Aleykum,Marehemu Emphraim Kibonde,.
Sasa kipindi hiki kimeshapata mtangazaji mpya atakae ziba pengo lake na ataanza kazi rasmi kesho jumatatu palee akipiga mastori ya town na kina Capitaaaaiiin na George Bantu swali ni jee atakua ni nani huyu??Guess who wanajamvi mnaweza kukisia/kubashiri ni nani atakaefaa pale ili kuleta ule utatu mtukutu?,
kwangu mimi nahisi labda ni hawa-:Muhammad Mwaulanga(Mwaulimbalile),Antonio Nugaz(Mtembezi),Mussa Hussein(Mwana DSM) au Lilian Mwasha..!!Otherwise let's wait and see...Kwakumalizia napiga honi la Jahazi"Boooooooooohh..!!".
@ChaliiYaKijengeJuu.