Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nilikuwa na hamu ya kusikia ni nani mrithi wa Kibs. Jahazi ni kipindi changu pendwa.
Hakuna namna, ngoja tuone kwa siku ya kesho nani atakuwepo kwenye kuperuzi magazeti. Ila ingeliwezekana kumuweka mtu mmoja kati ya Wasiwasi Mwabulambo ama Arnold Kayanda kiukweli Jahazi lingenoga sana.Duh!nahisi PB kitapooza.
Nilikuwa namkubali akiperuzzzz na kudadizzz
Nakumbuka Kuna siku walikamatwa barabarani na traffic wanadrive Huku wamelewa wakawekea Lock up ....Kuzimu hakuna beer..//ndio maana tuko hapa tunakunywa beer..//na siku ukiondoka hapa pia..//rafiki zako tutakunywa zako beer..//Tweendeee!!Do you want beer//Hii walikua wanaipiga kila Ijumaa wanasema kula beer upate akili.
Ofukozi ni kisanga na robo hawa wazee,,R.I.P #Kurasa za Kibs.Nakumbuka Kuna siku walikamatwa barabarani na traffic wanadrive Huku wamelewa wakawekea Lock up ....
huyu ndio boss wa pbAtakuwa Barbara Hussein maana leo hakuwepo kwenye kipindi.