Jahazi la Clouds FM lapata Mrithi wa Kibonde,Kuanza kazi Kesho tarehe 18.

Jahazi la Clouds FM lapata Mrithi wa Kibonde,Kuanza kazi Kesho tarehe 18.

Duh!nahisi PB kitapooza.

Nilikuwa namkubali akiperuzzzz na kudadizzz
Hakuna namna, ngoja tuone kwa siku ya kesho nani atakuwepo kwenye kuperuzi magazeti. Ila ingeliwezekana kumuweka mtu mmoja kati ya Wasiwasi Mwabulambo ama Arnold Kayanda kiukweli Jahazi lingenoga sana.

T[emoji769]
 
Kuzimu hakuna beer..//ndio maana tuko hapa tunakunywa beer..//na siku ukiondoka hapa pia..//rafiki zako tutakunywa zako beer..//Tweendeee!!Do you want beer//Hii walikua wanaipiga kila Ijumaa wanasema kula beer upate akili.
Nakumbuka Kuna siku walikamatwa barabarani na traffic wanadrive Huku wamelewa wakawekea Lock up ....
 
Back
Top Bottom