Jahazi la Clouds FM lapata Mrithi wa Kibonde,Kuanza kazi Kesho tarehe 18.

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,056
Wakuu habarini za wakati huu hopefully mko vyema ngoja niende direct kwenye mada baada ya kipindi cha Jahazi kinachoruka kila siku za jumatatu hadi ijumaa saa10 hadi saa1 ucku pale Clouds FM Kikiongozwa na George Bantu sambamba na Captain Gadner G-Habash kumpoteza mzee wa Aslaam Aleykum,Marehemu Emphraim Kibonde,.

Sasa kipindi hiki kimeshapata mtangazaji mpya atakae ziba pengo lake na ataanza kazi rasmi kesho jumatatu palee akipiga mastori ya town na kina Capitaaaaiiin na George Bantu swali ni jee atakua ni nani huyu??Guess who wanajamvi mnaweza kukisia/kubashiri ni nani atakaefaa pale ili kuleta ule utatu mtukutu?,

kwangu mimi nahisi labda ni hawa-:Muhammad Mwaulanga(Mwaulimbalile),Antonio Nugaz(Mtembezi),Mussa Hussein(Mwana DSM) au Lilian Mwasha..!!Otherwise let's wait and see...Kwakumalizia napiga honi la Jahazi"Boooooooooohh..!!".

@ChaliiYaKijengeJuu.
 

Attachments

  • jahaziii.jpg
    23.2 KB · Views: 64
Ngoma!
 
Hapo kama si dem Musa na Fredwaa wana nafasi kubwa hasa fredwaa fred fidelis maana njrle ya jahazi utatu ulikua unahamia kwa fredwa wakati bantu akijimix na vijana wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PJ ndiye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🎶🎵🎼mbinguni hakuna beer..
Ndio maana tupo hapa tunakunywa beer
Hata siku ya kuondoka kwako pia..
Rafiki zako tutakunywa zako beer🎵🎵

Daah kibonde we miss you brother!!
 


Kuna mtu mmoja anatoka Power Breakfast pale ndio atakaeshika nafasi
 
Kuzimu hakuna beer..//ndio maana tuko hapa tunakunywa beer..//na siku ukiondoka hapa pia..//rafiki zako tutakunywa zako beer..//Tweendeee!!Do you want beer//Hii walikua wanaipiga kila Ijumaa wanasema kula beer upate akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…