jahazi la clouds fm na sakata la kulawitiwa wanafunzi IFM sasa ni kama comedy

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,665
Kama unasikiliza jahazi la clouds fm sasa hivi utagundua hii redio badala ya kulaani hicho kitendo, watangazaji wameamua kuchekesha wasikilizaji..endelea kusikiliza jahazi.
 
Mkuu, hebu tudokeze sisi tulio mbali na radio zetu.
 
kibonde sumtyms nì mwehu!
my take:
there s hidden agenda! hcho nadhani ni kisasi cha wanakigamboni.
NIJUZEN!
 
Huyo kibonde ni mtu wa kujipendekeza kwa serikali hasa ccm ili apewe ukuu wa wilaya
 
wewe unaepoteza muda wako kusikiliza clouds fm inabidi tukupime akili...
 
we are not serious in anything, everything! ishu ya kigamboni its not a joke kama clouds wanavyotaka iwe
but u people why r u still tuning that station?
 
Kama unasikiliza jahazi la clouds fm sasa hivi utagundua hii redio badala ya kulaani hicho kitendo, watangazaji wameamua kuchekesha wasikilizaji..endelea kusikiliza jahazi.

Sio kila mtu ana radio hapo alipo. Topic inaelea hewani hii!
 
wewe unaepoteza muda wako kusikiliza clouds fm inabidi tukupime akili...

Kweli alafu kwani hakuna chombo kinachofuatilia maadili ya hivi vyombo vya habari vinavyochekelea hata mambo mabaya yasiyokuwa ktk maadili kama haya? Shame on you Tz leaders
 
we are not serious in anything, everything! ishu ya kigamboni its not a joke kama clouds wanavyotaka iwe
but u people why r u still tuning that station?

Ndo maana kuna mdau hapo juu kasema hawa watu wanaoisikiliza hii radio niwa kupima akili nani kweli kwani kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kusikiliza upumbavu na uozo kama huo
 
Kibonde bado anawasakama wanavyuo eti? Amesahau alichofanyiwa na udsm kipind kile?
 
Back
Top Bottom