Mwambomboli
Member
- Dec 25, 2012
- 46
- 7
nani kawatuma msikilize?
Wakati mwingine upo kwenye daladala na wamefungulia hiyo radio unafanyaje?Siku moja natoka kazini wanamsema mwalimu wao wa shule ya msingi mhimbili eti alikuwa habadilishi nguo ni full umbea na dhihaka.Ningekuwa kwangu ningebadilisha lakini kwenye daladala huwezi.