Jahazi la Natenyahu lazidi kwenda Mrama

Jahazi la Natenyahu lazidi kwenda Mrama

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu:

IMG_20240407_080849.jpg

2. Kipi kina thamani kuliko maisha ya binadamu hata mmoja tu, yakiokolewa?

IMG_20240407_080357.jpg

3. Ndiyo maana imeandikwa: "ni furaha kuu mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu."

4. Kwamba maisha ya wasio na hatia si kitu wala si lolote kwa Natenyahu?

IMG_20240407_085256~2.jpg

5. Anataka suluhu ipi huyu?

6. Kwa hakika aondoke sasa akafie mbali huko, Binyamin Natenyahu!

7. Mapatano ya Israel na HAMAS na kuondoka kwa m-sayuni huyu mwenye itikiadi zisizokubalika, ni sasa!
 
Kama masihata Israel imewashindwa Hamas ahahaha yaani Wanajeshi wa Israel wanakufa kama kuku, mpaka sasa Israel kapoteza zaidi ya Wanajeshi mia nne (400) tokea shambulizi la Hamas la tarehe 7

Sasa Ile vita ya siku 6 ilikuwa story au? Yaani teknolojia zote wanazojitapa nazo wayahudi, wanavyosifiwa kipuuzi duniani kuwa wana nguvu, Sasa kiko wapi?

Je, wakiingia Hezbollah itakuwaje? Tupo hapa Beirut tunasubili shambulizi la Iran la kulipa kisasi wakati wowote kuanzia Sasa!
 
1. Hii ni habari mbaya mno kwa mayahudi ya pande za kwetu.

2. Kwamba kuna na rungu la Marekani nyuma yake kumtaka kumaliza vita vyake sasa?

Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!

3. Akafiche wapi uso wake kinara wao Natenyahu, yarabi sasa?
 
1. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu:

View attachment 2956135

2. Kipi kina thamani kuliko maisha ya binadamu hata mmoja tu, yakiokolewa?

View attachment 2956137

3. Ndiyo maana imeandikwa: "ni furaha kuu mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu."

4. Kwamba maisha ya wasio na hatia si kitu wala si lolote kwa Natenyahu?

View attachment 2956166

5. Anataka suluhu ipi huyu?

6. Kwa hakika aondoke sasa akafie mbali huko, Binyamin Natenyahu!

7. Mapatano ya Israel na HAMAS na kuondoka kwa m-sayuni huyu mwenye itikiadi zisizokubalika, ni sasa!
askari 4 wa IDF waliouliwa kusini ya Gaza ongeza na 14 waliouliwa katikati ya Gaza siku hiyo hiyo
 
Netanyahu baado haamin kua wanamgambo mpala leo hii bado wanawapeleka makomandoo wa iDF kuzimu licha ya misaada ya makombora na mabomu ya kila aina anayopewa na US
 
Attachments

  • Screenshot_2024-04-07-09-50-39-88_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-04-07-09-50-39-88_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    512.9 KB · Views: 1
Hakuna mtu mwenye msimamo wa Kati anayeweza kushinda Uwaziri mkuu wa Israel, yaani Netanyahau Ndio mwenye msimamo Laini katika baraza la vita
Wana misimamo ya kijinga na wanaizamisha Israeli taratibu mtoni. Nimeona mawaziri wakuu wa israeli wamepita wengi ila huyu Netanyahu ndio atakaelizamisha jahazi kutokana na kiburi Chake. Dawa ya kiburi ni jeuri halafu kwa sasa anamchokoza Iran kwa nguvu hii ndio hatari zaidi
 
Netanyahau hata akishindwa, atarudi tena as long as Afya inaruhusu.

Why?

Israel ni Taifa la kihafidhina na ni Ulta-nationalists, kuna Waisrael wanataka wajenge makazi Gaza, Netanyahau haungi mkono, imagine waziri mkuu mwenye msimamo kama wa Hilo kundi atakuwaje
 
Wana misimamo ya kijinga na wanaizamisha Israeli taratibu mtoni. Nimeona mawaziri wakuu wa israeli wamepita wengi ila huyu Netanyahu ndio atakaelizamisha jahazi kutokana na kiburi Chake. Dawa ya kiburi ni jeuri halafu kwa sasa anamchokoza Iran kwa nguvu hii ndio hatari zaidi
Netanyahu ni kiburi ndicho ambacho kinamgharimu. Kipindi cha Bill Clinton mwaka 1996 wakati huo Netanyahu ni waziri mkuu wa Israel alienda kutembelea ikulu ya Marekani.

Baada ya kufika ikulu ya Whitehouse rais wa kipindi hicho Bw. Clinton, Bw. Netanyahu alitumia muda wake kuifahamisha ikulu ya Marekani anawapa somo kuwa malengo ya Israel ni nini na mustakabali wake hapo mashariki ya kati.

Baada ya kumaliza hotuba yake aliondoka palepale mbele wakati hata rais wa US Bw. Clinton hajaongea kwa upande wake. Alimuacha palepale Clinton mbele ya baraza lake. Yeye kaondoka. Yaani yeye kafika Whitehouse kutoa lecture kisha kaondoka. Clinton alichukizwa sana!

Akazungumza na kiingereza Chao cha kile wamarekani wakikasirika. "Who the ------does he think he is? Who's the ------superpower here?"😁

Kipindi cha utawala wa Barack Obama aliingia Marekani kisha akatembelea bunge la seneti pasipo kutoa taarifa yoyote kwenye ofisi ya rais. Hakuishia hapo akatoa na hotuba. Obama alimaindi sana na alimchana wazi kwa kiburi na dharau zake. Yaani unafika nchini kwangu unajiamulia mambo unavyotaka tu?! Hii ni dharau.

Na kama kawaida maazimio juu ya Israel kwenye baraza la UN Obama akabana hakuna kutumia kura ya veto akaliacha gongo likapita kwa israeli waaaa!

Huyo jamaa ni jeuri na kiburi. Ila akimuona Putin anamheshimu kweli kweli. Ujinga wa namna hiyo huwa anaishia kuufanya USA.

Halafu yupo madarakani muda mrefu tangu mwaka 1996 kwa cheo hicho hicho cha waziri mkuu. Anagombania kisha anasimama. Halafu anagombania tena.
 
Attachments

  • Screenshot_20240407_105019_Chrome.jpg
    Screenshot_20240407_105019_Chrome.jpg
    101.3 KB · Views: 1
Netanyahu ni kiburi ndicho ambacho kinamgharimu. Kipindi cha Bill Clinton mwaka 1996 wakati huo Netanyahu ni waziri mkuu wa Israel alienda kutembelea ikulu ya Marekani.

Baada ya kufika ikulu ya Whitehouse rais wa kipindi hicho Bw. Clinton, Bw. Netanyahu alitumia muda wake kuifahamisha ikulu ya Marekani anawapa somo kuwa malengo ya Israel ni nini na mustakabali wake hapo mashariki ya kati.

Baada ya kumaliza hotuba yake aliondoka palepale mbele wakati hata rais wa US Bw. Clinton hajaongea kwa upande wake. Alimuacha palepale Clinton mbele ya baraza lake. Yeye kaondoka. Yaani yeye kafika Whitehouse kutoa lecture kisha kaondoka. Clinton alichukizwa sana!

Akazungumza na kiingereza Chao cha kile wamarekani wakikasirika. "Who the ------does he think he is? Who's the ------superpower here?"😁

Kipindi cha utawala wa Barack Obama aliyembelea bunge la seneti pasipo kutoa taarifa yoyote kwenye ofisi ya rais. Hakuishia hapo akatoa na hotuba. Obama alimaindi sana na mlichana wazi kwa kiburi na dharau zake. Na kama kawaida maazimio juu ya Israel kwenye baraza la UN Obama akabana hakuna kutumia kura ya veto akaliacha gongo likapita kwa israeli waaaa!

Huyo jamaa ni jeuri na kiburi. Ila akimuona Putin anamheshimu kweli kweli. Ujinga wa namna hiyo huwa anaishia kuufanya USA.

Halafu yupo madarakani muda mrefu tangu mwaka 1996 kwa cheo hicho hicho cha waziri mkuu. Anagombania kisha anasimama. Halafu anagombania tena.
Sawa ila ni kiboko ya magaidi
 
Hakuna mtu mwenye msimamo wa Kati anayeweza kushinda Uwaziri mkuu wa Israel, yaani Netanyahau Ndio mwenye msimamo Laini katika baraza la vita

1. Uliwahi kumsikia Yitzhak Rabin?

2. Huyo alivuma sana lakini kama papa baharini na wengine wapo.

3. Yitzhak Rabin alisaini Oslo Accord, kupata mataifa mawili pale.

4. Mungu hatakaa aache watu wake; waisrael waungwana, wenye utu na wapenda haki kamwe hawawezi kukosekana.

5. Nyomi hilo linaloshinikiza mapatano na moderate wako kufungasha virago, ni mfano wake.
 
askari 4 wa IDF waliouliwa kusini ya Gaza ongeza na 14 waliouliwa katikati ya Gaza siku hiyo hiyo

1. Zingatia hao ni aliothubutu kukiri yeye mwenyewe.

2. Bila kusahau taarifa za vifo vya askari vitani, kimkakati ni siri.

3. Kwa hakika hapo hata ukifanya x3 yaweza kuwa Bado ni Kwa makisio ya chini.
 
1. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu:

View attachment 2956135

2. Kipi kina thamani kuliko maisha ya binadamu hata mmoja tu, yakiokolewa?

View attachment 2956137

3. Ndiyo maana imeandikwa: "ni furaha kuu mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu."

4. Kwamba maisha ya wasio na hatia si kitu wala si lolote kwa Natenyahu?

View attachment 2956166

5. Anataka suluhu ipi huyu?

6. Kwa hakika aondoke sasa akafie mbali huko, Binyamin Natenyahu!

7. Mapatano ya Israel na HAMAS na kuondoka kwa m-sayuni huyu mwenye itikiadi zisizokubalika, ni sasa!

View: https://x.com/DaveAtherton20/status/1776671383310696625
 
Wana misimamo ya kijinga na wanaizamisha Israeli taratibu mtoni. Nimeona mawaziri wakuu wa israeli wamepita wengi ila huyu Netanyahu ndio atakaelizamisha jahazi kutokana na kiburi Chake. Dawa ya kiburi ni jeuri halafu kwa sasa anamchokoza Iran kwa nguvu hii ndio hatari zaidi

1. Amethibitisha Leon Panetta Ex-CIA Chief:

IMG_20240406_070700.jpg

2. Kwamba:

IMG_20240406_063942.jpg

3. Kwamba kama huu siyo wenda kuzimu wenyewe, kumbe wenda kuzimu kutakuwa nini?

Ex-CIA Chief Panetta: IDF hutekeleza majukumu yao kama Wenda wazimu
 
Back
Top Bottom