- Thread starter
- #41
Sawa ila ni kiboko ya magaidi
Kiboko ya magaidi anapopumulia mashine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila ni kiboko ya magaidi
Netanyahau hata akishindwa, atarudi tena as long as Afya inaruhusu.
Why?
Israel ni Taifa la kihafidhina na ni Ulta-nationalists, kuna Waisrael wanataka wajenge makazi Gaza, Netanyahau haungi mkono, imagine waziri mkuu mwenye msimamo kama wa Hilo kundi atakuwaje
Netanyahu anastahili lawama kwa kuwajenga Magaidi wa Hammas mpaka wamefikia kuwa ni Grupu la Magaidi waliokomaa kiasi hiki.
Hammas wanafuata Mafundisho ya Qurani la kwamba hakiwezi kusimama kiama hadi Wayahidi kama watu wamalizwe.1. Ipo Tofauti ya gaidi na mpigania uhuru:
View attachment 2956544
2. Hata mwamba Chingai haku-m-spare.
There's no Moderate Muslims, nyinyi wote ubongo wenu uko corrupted na Quran ya shetan wenu. Ndiyo maana blindly you support your fellow islamists Hamas, ambao waliua na kuchoma moto raia wasio na hatia wa Israel na bado mliporudi Gaza mnajificha miongoni mwa wananchi wenu na hivyo kusababisha wawe targets za kivita. You are all terrorists1. Mkuu nitambue kuwa wewe na huyo mwamba mko nje kabisa ya mada.
2. Zingatia huyo mwamba anongelea uislam na waislam katika maana yake (kwa mtazamo wake) kama vitu viwili tofauti.
3. Hapo #2 hilo lililopo hapo, ni suala la kidini mahsusi kwenye jukwaa lake la kidini huko.
4. Kama yeye ni evangelical, mwokovu au msomi tu; akakutane wanazuoni wa aina yake huko kina: Prof. Shivji, Lissu, Kibatala FaizaFoxy, Malaria 2, Alwaz, Ritz, na waina hiyo mahsusi kwa ajili ya dozi kamili.
5. Hapo #4, sisi wengine tunatambua mgogoro huu hauna cha kufanya na dini:
View attachment 2956347
6. Kwamba huu ni ukoloni kama ukoloni mwingine wowote uliowahi kuwa pande za kwetu, unaopswa kupingwa vilivyo na kila mpigania haki.
7. Tukichanganya changanya haya mambo tutakuwa kama mapoyoyo mengine tu ya aina za kina MK254, Moisemusajiografii (Moise Katumbi) au wa namna hiyo.
Hammas wanafuata Mafundisho ya Qurani la kwamba hakiwezi kusimama kiama hadi Wayahidi kama watu wamalizwe.
1. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu:
View attachment 2956135
2. Kipi kina thamani kuliko maisha ya binadamu hata mmoja tu, yakiokolewa?
View attachment 2956137
3. Ndiyo maana imeandikwa: "ni furaha kuu mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu."
4. Kwamba maisha ya wasio na hatia si kitu wala si lolote kwa Natenyahu?
View attachment 2956166
5. Anataka suluhu ipi huyu?
6. Kwa hakika aondoke sasa akafie mbali huko, Binyamin Natenyahu!
7. Mapatano ya Israel na HAMAS na kuondoka kwa m-sayuni huyu mwenye itikiadi zisizokubalika, ni sasa!
There's no Moderate Muslims, nyinyi wote ubongo wenu uko corrupted na Quran ya shetan wenu. Ndiyo maana blindly you support your fellow islamists Hamas, ambao waliua na kuchoma moto raia wasio na hatia wa Israel na bado mliporudi Gaza mnajificha miongoni mwa wananchi wenu na hivyo kusababisha wawe targets za kivita. You are all terrorists
Pale ni Hamas na Islamic Jihaad kama huujui Uislamu tuulize ndugu.Ulikutanao wapi wakakwambia hivyo ila wakawandaganya aina
Hayupo anayesema vita imekwisha. Kwani hata msimamo huu wa Natenyahu unajulikana:
- The Israel Defense Forces says it has "declined" the number of its forces in southern Gaza as it regroups for its next stage in the war
- "The war is not over," Lt Col Peter Lerner tells the BBC, saying that more operations need to be conducted in the Gaza Strip
Pale ni Hamas na Islamic Jihaad kama huujui Uislamu tuulize ndugu.
Sawa kichapo kinaendelea kwa magaidi huku namba ya wafu wa kipalestina ikizidi kupanda....takbiiiirHayupo anayesema vita imekwisha. Kwani hata msimamo huu wa Natenyahu unajulikana:
(You will fight the Jews and will kill them, until the stone will say, `O Muslim! There is a Jew here, so come and kill him.') Muslim recorded that Abu Hurayrah said that the Messenger of Allah ﷺ said,1. Kamanda unadhani unao uelewa bora zaidi kuliko kamanda wako kinara, Lissu?
Tundu Lissu: Hamas Siyo Magaidi ila Wale waliopora Ardhi yao. Unayemuona Gaidi Wewe kwa Wenzako ni Mpigania Uhuru mfano Mandela!
2. Hudhani labda ungeanza kumwelewesha kwanza huyo huko, kabla ya kuamua kujilipua huku, tena kihasara hasara tu?
Sawa kichapo kinaendelea kwa magaidi huku namba ya wafu wa kipalestina ikizidi kupanda....takbiiiir
(You will fight the Jews and will kill them, until the stone will say, `O Muslim! There is a Jew here, so come and kill him.') Muslim recorded that Abu Hurayrah said that the Messenger of Allah ﷺ said,
👆Quran
Lissu ana mtazamo wake nami nina wangu.
Unakumbuka 2011 kwenye mkutano wa G20 wakati Obama na Sarkozy walipokuwa wanateta ila hawakujua kuwa 🎤 zilikuwa ziko OnNetanyahu ni kiburi ndicho ambacho kinamgharimu. Kipindi cha Bill Clinton mwaka 1996 wakati huo Netanyahu ni waziri mkuu wa Israel alienda kutembelea ikulu ya Marekani.
Baada ya kufika ikulu ya Whitehouse rais wa kipindi hicho Bw. Clinton, Bw. Netanyahu alitumia muda wake kuifahamisha ikulu ya Marekani anawapa somo kuwa malengo ya Israel ni nini na mustakabali wake hapo mashariki ya kati.
Baada ya kumaliza hotuba yake aliondoka palepale mbele wakati hata rais wa US Bw. Clinton hajaongea kwa upande wake. Alimuacha palepale Clinton mbele ya baraza lake. Yeye kaondoka. Yaani yeye kafika Whitehouse kutoa lecture kisha kaondoka. Clinton alichukizwa sana!
Akazungumza na kiingereza Chao cha kile wamarekani wakikasirika. "Who the ------does he think he is? Who's the ------superpower here?"😁
Kipindi cha utawala wa Barack Obama aliingia Marekani kisha akatembelea bunge la seneti pasipo kutoa taarifa yoyote kwenye ofisi ya rais. Hakuishia hapo akatoa na hotuba. Obama alimaindi sana na alimchana wazi kwa kiburi na dharau zake. Yaani unafika nchini kwangu unajiamulia mambo unavyotaka tu?! Hii ni dharau.
Na kama kawaida maazimio juu ya Israel kwenye baraza la UN Obama akabana hakuna kutumia kura ya veto akaliacha gongo likapita kwa israeli waaaa!
Huyo jamaa ni jeuri na kiburi. Ila akimuona Putin anamheshimu kweli kweli. Ujinga wa namna hiyo huwa anaishia kuufanya USA.
Halafu yupo madarakani muda mrefu tangu mwaka 1996 kwa cheo hicho hicho cha waziri mkuu. Anagombania kisha anasimama. Halafu anagombania tena.
Netanyahu bado yuko vizuri.
Sidhani kama kuna Waziri Mkuu katika Israel ambaye yuko tayari kuitetea kwa gharama zote nchi yake kama Netanyahu.
Mtaisoma namba nyinyi machinja chinja wa Dini ya Shetan, ALLAH kwa strategy anayotumia Yesu kuipondaponda Dini yenu hamuwezi kutatua kitendawili hicho. Anawafuatilia huko huko kwenye chimbuko la Dini yenu. Hapa Prince wa Kuwait Abbdulah Al Sabah kampokea Yesu na kujitokeza hadharani. Jambo gumu kabisa muislam kufanya. Keep my word, Mwana wa Mfalme wa SAUDIA ni suala la muda. Kwa sasa Yesu anamtumia aivunjevunje dini ya Shetan, Allah huhu akiwa ndani1. 'Ninyi wote?!" What do you mean? Miye siyo mwislam ndugu.
2. Palikuwa na nadharia kuntu hizi:
"e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.
f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote."
3. Hapo juu ni ndani ya Uzi huu:
Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko
4. Kuwapinga Israel Kwa udhwalimu wao hakuna maana mtu ni lazima awe mwislam tu!
5. Mtu kuwaunga mkono Israel hakuna maana yeye ni lazima awe mkristo tu!
6. Kulikoni mko na "corrupted mind na vichwa vilivyo oza" hivyo?
7. Wapi umeona naongelea uislam au waislam? Pamoja na kukueleza mahali pa kupeleka hoja zako mahali pa kupeleka ilu mkarumbane na wenye dini zao huko, Bado hukuelewa tu? Sasa hiyo itakuwa akili, au matope?
8. Nisiache kukwambia si Kila mtu ni mdini au anapenda kujadili dini, badala ya issues! Specifically kwa Uzi huu na mada nzima sijui dini unazisoma wapi?
9. Lastly, huu Uluthubutu wa ku m lump mtu kuwa kwenye magenge ambayo ungependa wewe awemo, mwaupata wapi ndugu?
Bure kabisa!