Kama masihata Israel imewashindwa Hamas ahahaha yaani Wanajeshi wa Israel wanakufa kama kuku, mpaka sasa Israel kapoteza zaidi ya Wanajeshi mia nne (400) tokea shambulizi la Hamas la tarehe 7
Sasa Ile vita ya siku 6 ilikuwa story au? Yaani teknolojia zote wanazojitapa nazo wayahudi, wanavyosifiwa kipuuzi duniani kuwa wana nguvu, Sasa kiko wapi?
Je, wakiingia Hezbollah itakuwaje? Tupo hapa Beirut tunasubili shambulizi la Iran la kulipa kisasi wakati wowote kuanzia Sasa!
Yaani historia hii ina mambo ya kipuuzi sana! Kumbe Israel ni kinchi Cha hovyo mno!1. Hii ni habari mbaya mno kwa mayahudi ya pande za kwetu.
2. Kwamba kuna na rungu la Marekani nyuma yake kumtaka kumaliza vita vyake sasa?
Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!
3. Akafiche wapi uso wake kinara wao Natenyahu, yarabi sasa?
Huyo Netanyahu na wale wapuuzi wenzake wake wawili (somebody Gvir na Smotrich nani sijui!) Wamechangia pakubwa sana kwenye kuukuza hui mgogoro.
Hakuna mtu mwenye msimamo wa Kati anayeweza kushinda Uwaziri mkuu wa Israel, yaani Netanyahau Ndio mwenye msimamo Laini katika baraza la vitaHuyo Netanyahu na wale wapuuzi wenzake wake wawili (somebody Gvir na Smotrich nani sijui!) Wamechangia pakubwa sana kwenye kuukuza hui mgogoro.
askari 4 wa IDF waliouliwa kusini ya Gaza ongeza na 14 waliouliwa katikati ya Gaza siku hiyo hiyo1. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu:
View attachment 2956135
2. Kipi kina thamani kuliko maisha ya binadamu hata mmoja tu, yakiokolewa?
View attachment 2956137
3. Ndiyo maana imeandikwa: "ni furaha kuu mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu."
4. Kwamba maisha ya wasio na hatia si kitu wala si lolote kwa Natenyahu?
View attachment 2956166
5. Anataka suluhu ipi huyu?
6. Kwa hakika aondoke sasa akafie mbali huko, Binyamin Natenyahu!
7. Mapatano ya Israel na HAMAS na kuondoka kwa m-sayuni huyu mwenye itikiadi zisizokubalika, ni sasa!
Wana misimamo ya kijinga na wanaizamisha Israeli taratibu mtoni. Nimeona mawaziri wakuu wa israeli wamepita wengi ila huyu Netanyahu ndio atakaelizamisha jahazi kutokana na kiburi Chake. Dawa ya kiburi ni jeuri halafu kwa sasa anamchokoza Iran kwa nguvu hii ndio hatari zaidiHakuna mtu mwenye msimamo wa Kati anayeweza kushinda Uwaziri mkuu wa Israel, yaani Netanyahau Ndio mwenye msimamo Laini katika baraza la vita
Netanyahau hata akishindwa, atarudi tena as long as Afya inaruhusu.Wana misimamo ya kijinga na wanaizamisha Israeli taratibu mtoni. Nimeona mawaziri wakuu wa israeli wamepita wengi ila huyu Netanyahu ndio atakaelizamisha jahazi kutokana na kiburi Chake. Dawa ya kiburi ni jeuri halafu kwa sasa anamchokoza Iran kwa nguvu hii ndio hatari zaidi
Netanyahu ni kiburi ndicho ambacho kinamgharimu. Kipindi cha Bill Clinton mwaka 1996 wakati huo Netanyahu ni waziri mkuu wa Israel alienda kutembelea ikulu ya Marekani.Wana misimamo ya kijinga na wanaizamisha Israeli taratibu mtoni. Nimeona mawaziri wakuu wa israeli wamepita wengi ila huyu Netanyahu ndio atakaelizamisha jahazi kutokana na kiburi Chake. Dawa ya kiburi ni jeuri halafu kwa sasa anamchokoza Iran kwa nguvu hii ndio hatari zaidi
Sawa ila ni kiboko ya magaidiNetanyahu ni kiburi ndicho ambacho kinamgharimu. Kipindi cha Bill Clinton mwaka 1996 wakati huo Netanyahu ni waziri mkuu wa Israel alienda kutembelea ikulu ya Marekani.
Baada ya kufika ikulu ya Whitehouse rais wa kipindi hicho Bw. Clinton, Bw. Netanyahu alitumia muda wake kuifahamisha ikulu ya Marekani anawapa somo kuwa malengo ya Israel ni nini na mustakabali wake hapo mashariki ya kati.
Baada ya kumaliza hotuba yake aliondoka palepale mbele wakati hata rais wa US Bw. Clinton hajaongea kwa upande wake. Alimuacha palepale Clinton mbele ya baraza lake. Yeye kaondoka. Yaani yeye kafika Whitehouse kutoa lecture kisha kaondoka. Clinton alichukizwa sana!
Akazungumza na kiingereza Chao cha kile wamarekani wakikasirika. "Who the ------does he think he is? Who's the ------superpower here?"😁
Kipindi cha utawala wa Barack Obama aliyembelea bunge la seneti pasipo kutoa taarifa yoyote kwenye ofisi ya rais. Hakuishia hapo akatoa na hotuba. Obama alimaindi sana na mlichana wazi kwa kiburi na dharau zake. Na kama kawaida maazimio juu ya Israel kwenye baraza la UN Obama akabana hakuna kutumia kura ya veto akaliacha gongo likapita kwa israeli waaaa!
Huyo jamaa ni jeuri na kiburi. Ila akimuona Putin anamheshimu kweli kweli. Ujinga wa namna hiyo huwa anaishia kuufanya USA.
Halafu yupo madarakani muda mrefu tangu mwaka 1996 kwa cheo hicho hicho cha waziri mkuu. Anagombania kisha anasimama. Halafu anagombania tena.
Hakuna mtu mwenye msimamo wa Kati anayeweza kushinda Uwaziri mkuu wa Israel, yaani Netanyahau Ndio mwenye msimamo Laini katika baraza la vita
askari 4 wa IDF waliouliwa kusini ya Gaza ongeza na 14 waliouliwa katikati ya Gaza siku hiyo hiyo
Akili yako na akili yangu ni tofauti.Sawa ila ni kiboko ya magaidi
1. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu:
View attachment 2956135
2. Kipi kina thamani kuliko maisha ya binadamu hata mmoja tu, yakiokolewa?
View attachment 2956137
3. Ndiyo maana imeandikwa: "ni furaha kuu mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu."
4. Kwamba maisha ya wasio na hatia si kitu wala si lolote kwa Natenyahu?
View attachment 2956166
5. Anataka suluhu ipi huyu?
6. Kwa hakika aondoke sasa akafie mbali huko, Binyamin Natenyahu!
7. Mapatano ya Israel na HAMAS na kuondoka kwa m-sayuni huyu mwenye itikiadi zisizokubalika, ni sasa!
Wana misimamo ya kijinga na wanaizamisha Israeli taratibu mtoni. Nimeona mawaziri wakuu wa israeli wamepita wengi ila huyu Netanyahu ndio atakaelizamisha jahazi kutokana na kiburi Chake. Dawa ya kiburi ni jeuri halafu kwa sasa anamchokoza Iran kwa nguvu hii ndio hatari zaidi