mimi wananishangaza ni wale walioruka na kulisuma gari lake
kushangilia kurudishwa kwake job....sijui wanafikiria kwa kutumia kitu gani...
Aaah! wale walikuwa wanatumiaaa...hivi jina la meya ya Jiji ni nani vile ? hahaha!mimi wananishangaza ni wale walioruka na kulisuma gari lake
kushangilia kurudishwa kwake job....sijui wanafikiria kwa kutumia kitu gani...
inavyoonyesha hata Waziri wa Giza anamuogopa Jairo,si alikuwa Ikulu bana ?
Alienishangaza zaidi ni yule cheap Ngeleja, what a shame ?