Jaji Aliyemhukumu Nguza, Hakana Tuhuma

Jaji Aliyemhukumu Nguza, Hakana Tuhuma

one day will know the truth by now it's hard for us to overstand who is right or wrong
 
Hivi wale 2 waliotoka wamelipwa fidia yoyote kwa kipindi walichokaa jela bila hatia au hamnaga kitu kama hicho..
 
Hivi wale 2 waliotoka wamelipwa fidia yoyote kwa kipindi walichokaa jela bila hatia au hamnaga kitu kama hicho..

kama ni kweli sijui, ila hata mali zao walikuta zimeshauzwa kwa ajili ya kuwafidia wale malaika.
 
Jamani haya mambo ya sheria hayaaminiki ona kule marekani saa moja usiku saa za kule watampiga sindano ya sumu Troy Davis mwafrika mwenzetu ambaye kesi yake ya kuua ni utata mtupu lakini jamaa wameshikilia kuwa lazima ikifika saa moja usiku saa za kule lazima jamaa afe.
 
Back
Top Bottom