Jaji Amir Ali aiamuru serikali ya Trump kurudisha misaada yote ikiwemo ya USAID iliyositishwa!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Jaji Ali wa Federal Court ya huko Marekani ameondoa amri ya kuzuia misaada iliyowekwa na Trump mpaka kesi mbalimbali zilizofunguliwa na makundi mbalimbali ya watu zitakaposikilizwa na kutolewa hukumu.

MAGA wamelalamika sana wakisema inawezekana vipi Jaji muhamiaji ambaye ni DEI, Mwarabu na Muislamu anataka kumpanda kichwani rais wao kipenzi Trump!
Bado haijajulikana kama serikali ya Trump itatekeleza amri hii au itaipuuza.
Screenshot_20250214-162935_X.jpg

20250214_162052.jpg

20250214_162804.jpg
 
Sawa
Ila Mahakama Ya Juma Ijifunze Hapo
*************************************

Donald Trump Naye Atakaza Tena Ama
 
Njoo kwenye mahakama za mtu mweusi sasa,

Yaani wao wangemsagia meno aliyeiahitaki serikali
 
Hii ndiyo Raha ya mahakama za Nchi zinazojitambua.Tofauti na Tanzania ambazo hakimu hupigiwa simu na kuelekezwa namna ya kuiamua
 
Jaji Ali wa Federal Court ya huko Marekani ameondoa amri ya kuzuia misaada iliyowekwa na Trump mpaka kesi mbalimbali zilizofunguliwa na makundi mbalimbali ya watu zitakaposikilizwa na kutolewa hukumu.

MAGA wamelalamika sana wakisema inawezekana vipi Jaji muhamiaji ambaye ni DEI, Mwarabu na Muislamu anataka kumpanda kichwani rais wao kipenzi Trump!
Bado haijajulikana kama serikali ya Trump itatekeleza amri hii au itaipuuza.
View attachment 3236382
View attachment 3236383
View attachment 3236386
Islamist huyo; yupo hapo kutekeleza Agenda za Kaallah
 
Jaji Ali wa Federal Court ya huko Marekani ameondoa amri ya kuzuia misaada iliyowekwa na Trump mpaka kesi mbalimbali zilizofunguliwa na makundi mbalimbali ya watu zitakaposikilizwa na kutolewa hukumu.

MAGA wamelalamika sana wakisema inawezekana vipi Jaji muhamiaji ambaye ni DEI, Mwarabu na Muislamu anataka kumpanda kichwani rais wao kipenzi Trump!
Bado haijajulikana kama serikali ya Trump itatekeleza amri hii au itaipuuza.
View attachment 3236382
View attachment 3236383
View attachment 3236386
Ngoja Kash Patel achukue mamlaka ya FBI watamkomesha
 
Jaji Ali wa Federal Court ya huko Marekani ameondoa amri ya kuzuia misaada iliyowekwa na Trump mpaka kesi mbalimbali zilizofunguliwa na makundi mbalimbali ya watu zitakaposikilizwa na kutolewa hukumu.

MAGA wamelalamika sana wakisema inawezekana vipi Jaji muhamiaji ambaye ni DEI, Mwarabu na Muislamu anataka kumpanda kichwani rais wao kipenzi Trump!
Bado haijajulikana kama serikali ya Trump itatekeleza amri hii au itaipuuza.
View attachment 3236382
View attachment 3236383
View attachment 3236386
Hapo hata senti tano, hairudishwi, kinachofata ni redundancy la wafanyakazi balozi zote duniani,

Sawa
Ila Mahakama Ya Juma Ijifunze Hapo
*************************************

Donald Trump Naye Atakaza Tena Ama
Kwani Tanzania kuna mahakama si ni Kangaroo 🦘 Courts ndizo zimejaa hapa. Sasa kumnyima Slaa dhamana maana yake nini kwa mashitaka hayo ya kubumba utafikiri ameua mtu. Nchi za hovyo sana hizi.
 
Trump asikubali,hii misaada inatumika hovyo huku na CCM
 
Back
Top Bottom