JamiiCheck
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 245
- 267
No Reforms, No Election sio Upotoshaji!Ujumbe wa Jaji Asina Omari, Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), alioutoa wakati akizungumza na wawakilishi wa vijana, kwenye ukumbi wa mikutano Mlimani City Dar es Salaam, unasisitiza kuepuka utumiaji wa Akili Unde kutengeneza taarifa potofu ili kuzuia upotoshaji wakati wa uchaguzi.
Kuzuia Taarifa Potoshi ni mchango muhimu kuelekea uchaguzi mkuu kwani Maamuzi sahihi hutokana na Taarifa Sahihi.
Mshaanza .Kuna watu Wapotoshaji kama serikali?
Kwan kataja mambo ya no reform?No Reforms, No Election sio Upotoshaji!
Kumbambikizia TAL keshi ya Uhaini ni UPOTOSHAJI
Sasa kaandike taarifa za uongo za upotoshaji alaf ukikamtwa sema umeiga serikaliKuna watu Wapotoshaji kama serikali?
Ni kitu gani kimekuambia nataka kuiga serikali kupotosha?Sasa kaandike taarifa za uongo za upotoshaji alaf ukikamtwa sema umeiga serikali