wewe kichwa chako lazima kitakuwa na wadududu, sio bure! serikalh 3 ni maoni ya wananchi, sio maoni ya warioba, dr slaa, mbowe, bomani, wala mama yako! wanachosema warioba na bomani ni photocopy ya maoni ya wananchi. tatizo kuna watu wanajitoa akili eti wanasame 'haya ni maoni ya warioba'! what a confusion and insanity![/QUOTE]
- Kaka pole sana maana umeandika na mapovu sana, kaka Mchakato ni maoni ya kila mtu na vyama pia nia vyama tu na viongozi wa vyama ndio wanaweza kusimama na kusema wanawawakilisha wanachama wao kwenye kuwasemea maoni yao, Warioba na Bomani sio Viongozi waliochaguliwa na mwananchi hata mmoja kuwaongelea, wanachotakiwa ni kusema tu maoni yao kama Wananchi,
- Kadri wanavyozidi kusema sema kama Bomani, ndio wanatuonyesha kwamba kuna kitu wanakipika huwa ninajiuliza sana hivi hawa Viongozi wetu wa zamani wa Siasa na Taifa wana washauri wa aina gani? Bomani unawezaje at this stage kusimama na kudai CCM lazima ikubali maoni ya Warioba ya Serikali Tatu kwa sababu ni wananchi ndio waliodai wakati Serikali ya CCM ndiye in the first place iliyoamua kwamba kuwepo na mapendekezo ya marekebisho ya katiba?
- So hapa anajisema mwenye yaani Bomani kwamba yeye na WArioba lao ni moja, angesema maoni yake tu angejisaidia sana kuliko kujitoa kama alivyofanya ameharibu sana maana sasa wote tunajua kwamba na yeye na Warioba ni kitu kimoja wanataka kutumia kila njia kuweka Serikali tatu, naomba kuwafahamisha kwamba haaitatokea!!
LE Mutuz