Jaji Bomani umenena:CCM waachane na wazo la Serikali 2

 
Moja ya sababu uchwara ambayo magamba wanadai kukosa katiba hii mpya ni kwamba kuwa na serikali tatu ni njia mojawapo ya kuvunjika Muungano.....sasa kama wanajali Muungano, kwa nini sasa wasidai serikali moja tuu,,ya Muungano na tusiwe na serikali ya mapinduzi na Tanganyika na hapo undugu ndio utakuwa
Vile vile na waziwazi kabisa wa ZNZ wameshasema hawahitaji huu Muungano wa serikali mbili... wanataka serikali 3...sasa huoni nyie akina Nape,Le Mutuz,Komba etc mnashindwa kuwaelewa wananchi na kwenda kinyme cha matakwa ya wananchi ni udikteta
 
- Kichwa cha maji huwa kinajisema chenyewe kaka, huyu bomani ni mnafiki asingekuwa angesema enzi za MWalimu, wale wote ambao hawakusema then wanyamaze wamuchaie Kasaka Njelu aseme!1

Le Mutuz

Hivi ukiwa CCM lazima uwe bingwa wa matusi? Unamtukana Mzee Bomani utdhani hujazaliwa na Mzee Malecela aliyewambiaga wasafiri wa "TRC"...Go to hell...! Mtera mnakulaga nini mpaka vichwa vyenu vijae matusi hivyo au unapata kozi toka kwa mbunge wako! Tukanana na saizi yako wako wengi tu humu jamvini lakini siyo wazee kama hawa-laana unajitafutia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…