PostGE2025 Jaji Chande: Baadhi ya wanasiasa walitumia wananchi kuhamasisha vurugu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Your browser is not able to display this video.

Jaji Chande akielezea kuhusu vichocheo vya matukio ya Oktoba 29, 2025 amesema kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi zilizotokana na vyanzo mbalimbali kama fursa ya kushawishi na kuchochea wananchi katika kushiriki katika ghasia kwa kutumia kaulimbiu na matamko mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…