Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo ambapo tunatuma maombi kwa Rais Samia, aiweke hadharani ile Ripoti ya Jaji Chande, kwasababu hata Jaji Chande Mwenyewe, alidhamiria iwe public.
Mamlaka kuu au Boss wako, akikuomba kitu, hata kama atatumia lugha ya kistaarabu na...
Kumbukumbu yaonyesha kwama yale maneno ya tume kama
1. Wanajiteka
2. Wanatekana sababu mapenz
3. Wameenda kutafuta maisha
4. Hakuna utekaji
5. Walilipwa kuandamana
6. Namengineyo
Soma pia PostGE2025 - Jaji Chande: Kati ya watu 758 waliopotea wengine walijiteka kutokana na sababu kama mapenzi...
Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025
Jaji Chande anasema tume ilipata taarifa ya mauaji ya watu 13 katika kibanda cha kuonesha video ambapo anasema kuna shahidi alisema wanaodhaniwa kuwa askari walivamia kibanda hicho na kuwapiga risasi waliokuwa kuwa ikiwepo pia manusura huyo, ambapo anasema tuhuma hizo ni nzito hivyo zifanyiwe...
Jaji Chande anasema katika ghasia za Oktoba 29, sekta ya fedha pia ilipata hasara ambapo kiasi cha tsh. milioni 627.7 ziliporwa na kuibiwa katika ATM za CRDB, NMB na NBC
Jaji Chande amesema kuwa tume ilipokea madai kutoka kwa waathirika na watu wengine kuhusu watu kupigwa risasi, kujeruhiwa au kuuawa katika maeneo ambayo hayakuwa na ghasia na vurugu, na madai ya watu kupigwa risasi kwenye makazi yao ikiwa ni pamoja na ndani ya nyumba au sebuleni na ndani ya...
Jaji Chande amesema kuwa imebainika makundi yaliyoshawishiwa ndiyo wahusika zaidi katika ghasia wakati wahusika wakuu na waratibu wa ghasia hawakuwepo kwenye maeneo ya matukio hali iliyochangia kutokamatwa kwao, huku wengi na waliokamatwa wakiwa na wananchi wa kawaida wakiwemo wafuata mkumbo, au...
Jaji Chande akielezea kuhusu vichocheo vya matukio ya Oktoba 29, 2025 amesema kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi zilizotokana na vyanzo mbalimbali kama fursa ya kushawishi na kuchochea wananchi katika kushiriki katika ghasia kwa kutumia kaulimbiu na matamko...
Jaji Chande anasema kuwa kuna vyama vya siasa vichache, wanaharakati, wanasiasa na viongozi wa NGo wachache walioalikwa kufika mbele ya tume lakini hawakufa hivyo
Kazi ya uchunguzi ilihusisha maeneo 202 yaliyoathirika zaidi katika wilaya 21 na mikoa 11, tume pia ilitembea Zanzibar na Kilimanjaro kama sampuli ya maeneo ambayo hayakuwa na ghasia ili kujifunza mazingira yaliyosababisha hali hiyo
Jaji Chande ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.