kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,528
- 6,856
Kumbukumbu yaonyesha kwama yale maneno ya tume kama
1. Wanajiteka
2. Wanatekana sababu mapenz
3. Wameenda kutafuta maisha
4. Hakuna utekaji
5. Walilipwa kuandamana
6. Namengineyo
Soma pia PostGE2025 - Jaji Chande: Kati ya watu 758 waliopotea wengine walijiteka kutokana na sababu kama mapenzi, kukimbia madeni, uhalifu na kusafiri nje ya nchi
Nimaneno ya dhihaka ambayo yamekua yakitolewa marakwamara na wabunge wa ccm bungeni.
Tume ya babu Chande nayo ikapita humohumo kwenye hiyo mipasho kutengeneza report ya tume.
Kwa ufupi, tume imeleta mipasho na mockery kwa wahanga na watanzania