Tume inasema watu walozikwa na wenyewe ni 400 +π€π€
Tuwatibie!
Siku ya maombolezo ya kitaifa!
Msaada wa kisaikolojia
Katiba mpya
Maridhiano
Baraza la wazee...
Swali bado liko pale pale... Nani alitoa amri ya kupiga na kuua WaTanganyika?
Hiyo miili zaidi ya 500 ilipelekwa wapi?
Maridhiano Kati ya Nani na nani, na Nani mkosaAmeyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam ambapo Tume hiyo imetoa mapendekezo yake
Mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande
Serikali kuweka utaratibu kuhakikisha majeruhi waliopata ulemavu kutokana ghasia Oktoba 2025 wanapata huduma za matibabu bure
Serikali kutenga siku ya maombolezo ya Kitaifa kuwakumbuka Watanzania zaidi ya 500 waliofariki kwenye ghasia wakati na baada ya uchaguzi mkuu
Serikali iweke mkakati na kutengeneza rasilimali za kwa ajili ya watoaji utoaji huduma pamoja na msaada wa kisaikolojia na kijamii pamoja na kufanyika haraka athari za kisaikolojia na kijamii katika maeneo yaliyoathirika zaidi
Ni muhimu Katiba mpya ipatikane ifikapo 2028 ili itumike katika uchaguzi ujao
Serikali iunde Tume ya Maridhiano ya muafaka kwa Taifa kupitia Mamlaka ya Rais chini ya Ibara ya 36 ya Katiba
Serikali iunde Baraza la wazee la washauri zakutumisha baadhi ya viongozi wakuu wastaafu pamoja na wazee kwa lengo la kusaidia Tume ya Maridhiano
Nashangaa , nimepoteza vijana wangu wawili ,hawakuwa kwenye maandamano ,alafu uyu chande ambaye hawezi kuwa na miaka 10 mbele ya kuishi , analeta mzaa kwa umri wake , hivi uyu mzee leo hata akipewa T moja itamsaidia nini ? Pumbavu kabisa, hii tume imelipaka taifa kinyesi, uyu mzee mwisho wake utakua mbaya sana , na waliomuingiza chaka kubadili ukweli kuwa uhongoπ€π€
Tuwatibie!
Siku ya maombolezo ya kitaifa!
Msaada wa kisaikolojia
Katiba mpya
Maridhiano
Baraza la wazee...
Swali bado liko pale pale... Nani alitoa amri ya kupiga na kuua WaTanganyika?
Hiyo miili zaidi ya 500 ilipelekwa wapi?
Pole sana! Kimsingi WaTanganyika ni watu wapole sana!Nashangaa , nimepoteza vijana wangu wawili ,hawakuwa kwenye maandamano ,alafu uyu chande ambaye hawezi kuwa na miaka 10 mbele ya kuishi , analeta mzaa kwa umri wake , hivi uyu mzee leo hata akipewa T moja itamsaidia nini ? Pumbavu kabisa, hii tume imelipaka taifa kinyesi, uyu mzee mwisho wake utakua mbaya sana , na waliomuingiza chaka kubadili ukweli kuwa uhongo