Kazi ya uchunguzi ilihusisha maeneo 202 yaliyoathirika zaidi katika wilaya 21 na mikoa 11, tume pia ilitembea Zanzibar na Kilimanjaro kama sampuli ya maeneo ambayo hayakuwa na ghasia ili kujifunza mazingira yaliyosababisha hali hiyo
Jaji Chande ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam