Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
MkuuWakuu,
Roho imeniuma sana na hii stori ya huko Mwanza
Hapa Jaji Chande anaelezea jinsi mapolisi walivyouwa watu 13 huko Mwanza
Daah!
Yaani mkuu unaamini kabisa leo hii eti kijana anayeishi kwenye bedsitter alitumiwa $2M kwenye simu ?Aliyelipwa bilioni tano hajatajwa?
Mwigulu
Elewa neno 'waliodhaniwa'Hili wameshindwa kulifunika