PostGE2025 Jaji Chande: Kwa mujibu wa Jeshi La Polisi watu 758 walipotea, watu 448 hawajapatikana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • 2026-04-23 11-55-09.mp4
    40.2 MB
Kwa mujibu wa jeshi la polisi! Basi asante
 
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Ngoja nisubiri reaction ya wenye akili timamu wachambue siyo haya mavi takataka
 
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
amesema ni kwasababu gani wamepotea?
 
Duh!! Waandamanaji walibeba bunduki,mikuki,makombeo,majambia,n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…