Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Jaji Chande amesema kuwa tume imebaini kuwa kuhusu maridhiano na katiba mpya, tume imebaini kuwa matukio ya Oktoba 29 pamoja na changamo vimesababisha nyufa na majeraha kwa taifa hivyo maridhiano na muafaka wa kitaifa ni hatua muhimu katika kuponya majeraha, kurejesha amani, kuaminiana, mshikamano na utengamano ndani ya jamii na taifa kwa ujumla.