PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yamesababisha majeraha kwa taifa, maridhiano ni hatua muhimu kuponya taifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Your browser is not able to display this video.

Jaji Chande amesema kuwa tume imebaini kuwa kuhusu maridhiano na katiba mpya, tume imebaini kuwa matukio ya Oktoba 29 pamoja na changamo vimesababisha nyufa na majeraha kwa taifa hivyo maridhiano na muafaka wa kitaifa ni hatua muhimu katika kuponya majeraha, kurejesha amani, kuaminiana, mshikamano na utengamano ndani ya jamii na taifa kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…