Jaji Chande: Si kazi ya Tume kumtia mtu hatiani au kutamka kijinai

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande ameyasema hayo leo Aprili 28, 2026 wakati Tume ya Jaji Othman Chande ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya ripoti hiyo iliyowasilishwa mbele ya Rais Samia mnamo Aprili 23, 2026


Your browser is not able to display this video.
 
Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande ameyasema hayo leo Aprili 28, 2026 wakati Tume ya Jaji Othman Chande ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya ripoti hiyo iliyowasilishwa mbele ya Rais Samia mnamo Aprili 23, 2026


View attachment 3580668
Chande ulaaniwe wewe na uzao wako wote hadi kizazi cha nne.
 
Kwa maana fupi kazi yenu ilikua kudanga tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kinyago wamemchonga wao, saizi wanamuogopa eti anang'ata....🤣
Kama report niya Rais, kwanini bado wanaizungumzia na walisha mkabidhi mwenye report yake....??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…